Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wao: Hamtoki kwa Madrid.

Madrid kafa 3.

Wao: Ila Madrid wenyewe siyo wakali.

Sisi: Sawa

Wao: Kwanza huko Bernabeu lazima wapindue meza mtaona.

Watu wamepanic. Wapo kwenye stages za 'Grief'.
Sasa mmevimba vichwaa ,mnajiona mabingwa kabisa ,kumbe nyau tu
Ninyi ubingwa wa UEFA mtausikilizia kwenye bomba tu
 
Sasa mmevimba vichwaa ,mnajiona mabingwa kabisa ,kumbe nyau tu
Ninyi ubingwa wa UEFA mtausikilizia kwenye bomba tu
Ni sawa. Mpango wetu mtuuzie Chalobah na Disasi ili tuimarishe defense halafu tuwe mabingwa.

Kwa nyumbu tunaenda kumchukua Maguire na Luke Shaw
 
Punda, kenge, Loserfools wanatakiwa wajue Arsenal ameshinda bila ST na bila beki wake muhimu.
 
Second leg arteta lazima alie. Kiufupi hakuna english team itakayotoboa kwenye ligi ya mabingwa.
Unateseka ukiwa wapi kijana? Hivi tangu jana umekunywa hata maji kweli? Maana najua usingizi hukupata sababu ya kutokuamini kile ulichokiamini pale Emirate.

Labda nikujuze tu wewe na wenzako mnaoishi kimazoea, Arsenal hii ya Sasa ina uwezo wa kucheza kwenye uwanja wowote dhidi ya mkubwa yoyote na ikapata matokeo, maana tayari wachezaji wa waliopo wana ile charisma ya kucheza mechi kubwa zenye pressure.

kwa mtu yeyote anayejua mpira yale matokeo ya jana hayawezi kumshangaza, maana katika ya timu zote 8 zilizobaki real madrid ni timu iliyofika hapa kwa uzoefu tu na na wala si kwa ubora.

Na ilikuwa ni suala la muda tu wakutane na timu iliyobora kuliko wao ya kuwa expose Kuwa wao ni timu dhaifu... angalia hata huko nyuma alipotoka amekutana na mbovu mwenzie manchester city na kibonde wake wa miaka yote Atletico madrid.

Jana tumeona gap kubwa sana la ubora kati ya gunners na madrid, halafu eti unategemea madrid ataenda kupindua ubao kwake bernabeu? Hizo ni ndoto za alinacha... Achana na habari za Liverpool vs barca.... ile liverpool haikuwa chujio hivi kama hii madrid ya sasa, na pia Arsenal haina defense mbovu kama ile barca ya 2019.

Labda kwa ushauri tu ukiwa kama muombea mabaya, hizo dua zako labda uziamishie kwa Inter ambaye tutakutana nae fainali, maana hapo nusu fainali sioni wa kutuzuia na pia kule upande wa pili sioni wa kumzuia Inter asifike fainali.
 
Wao: Hamtoki kwa Madrid.

Madrid kafa 3.

Wao: Ila Madrid wenyewe siyo wakali.

Sisi: Sawa

Wao: Kwanza huko Bernabeu lazima wapindue meza mtaona.

Watu wamepanic. Wapo kwenye stages za 'Grief'.
Bado wako kwenye disbelief watakubaliana tu na hali lakin hapo baadae.

Tena nafikiri hiki kichapo walichokishuudia jana kitawapa akili kidogo, kwamba mpira hautakiwi kuchukuliwa kimazoea kuwa fulani ndio baba wa michuano sijui hawezi kutolewa na Arsenal.

Kabla ya game jana mimi niliwaambia watu kwamba upo uwezekano mkubwa hii battle ikaishia hapa hapa Emirate na huko bernabeu tukaenda kukamilisha ratiba tu wakati huo real madrid atakuwa ameshatoka, wakazaa blah blah zoa sijui mara timu ya kumtoa real madrid ni barca tu. Mara ohh mbappe ana goli zake mbili, ujinga ujinga mwingi nikaachana nao...

Sasa hivi wamebaki kupiga ramli tu na kutunga sentensi wakianza na neno ..inawekana, inawezakana..
 
Back
Top Bottom