Mtachukua kibuyu cha ulanzi, UEFA haibebwi na wehu kama Arsenal.Arsenal tunachukua Uefa
Kwanza Bernabeu mnakula 5 kavu
Mtachukua kibuyu cha ulanzi, UEFA haibebwi na wehu kama Arsenal.Arsenal tunachukua Uefa
Rodrygo aliona isiwe kesi, hakuna haja ya kuvunjwa taya.THIS IS DECLAN RICE GAME! Rice with an even better hit! Arsenal 2-0 Real Madrid
View attachment 3297451
View attachment 3297453
final tutakuwa na inter milan simuoni barca wa kumtoa inter milanAje psg nusu fainali, aston villa anakuaga mchawi mchawi sana
Fainali namtaka barca. Arsenal kiboko ya mabishoo
Hiv bado hatujakutana nao?Hongera zenu
leo mmecheza kama vile Liverpool mabingwa wa EPL
Mkikutana na PSG itakua baba Jane bye bye Arsenal
Prophet of doom nakuona upo kaziniSecond leg arteta lazima alie. Kiufupi hakuna english team itakayotoboa kwenye ligi ya mabingwa.
Prophet of doom nakuona upo kazini
Basi umekaza Tu fuvu unaamini Madrid itachomoa hizo goli 3.
Endelea kuota ndoto nyevu kijana
Unakumbuka juzi juzi tu hapa Saka aliifunga PSG kwa free kick? 😀Arsenal, baada ya kutoscore free kicks for ages is ripping through Madrid
Sio injuries hao kasikilize press ya Mikel ,wapo ok wote haoGame ya jana imetuzalishia majeruhi watatu.
Rice, Saka na Timber
Eh! Mdau umerudi kundini? Imekuwaje tena?Sio injuries hao kasikilize press ya Mikel ,wapo ok wote hao
Sasa mmevimba vichwaa ,mnajiona mabingwa kabisa ,kumbe nyau tuWao: Hamtoki kwa Madrid.
Madrid kafa 3.
Wao: Ila Madrid wenyewe siyo wakali.
Sisi: Sawa
Wao: Kwanza huko Bernabeu lazima wapindue meza mtaona.
Watu wamepanic. Wapo kwenye stages za 'Grief'.