cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Hongera, naona km kweli, mwaka wenu huu.We timu gani kwanza? Nisije kubishana na mtu yupo Conference league
Jana Arsenal imenifurahisha mnoo.
Hongera, naona km kweli, mwaka wenu huu.We timu gani kwanza? Nisije kubishana na mtu yupo Conference league
Wa kumzuia Arsenal ni barca tyuuh, mwaka wenu huu.Hao Psg mbona tumekutana kwenye mashindano haya haya na wamepigika au haufuatilii, hapo ni Astonvilla ndo wanakuwaga vichaa ila kichaa tulishakituliza
Hapana, Arteta alisema they were rested for tactical reasonsGame ya jana imetuzalishia majeruhi watatu.
Rice, Saka na Timber
Labda alikuwa na uchovu kiasi. Vini Jr wa jana si yule tuliyemzoea.Sema tu vinici.. hakuwepo game ijayo akiwepo hatoki mtu.
Hints.
Timber ana nguvu akili utulivu na kasi
Partey ni kiungo bora sana kwa leo yy ndo kawa playmaker wa pasi zote zinazofika kwa Bukayo
Arsenal ni Bukayo bukayo ni Arsenal
Rice ameonesha anachofanya mazoezini yaani amebadilisha imagination kuwa realities
Merino kucheza kama namba tisa ni surprise kwa wengi sana
Arsenal msimu ujao itafute strka itakuwa team nzuri sana na unstoppable
Una muda wa kuchezea sana we nyumbu
Acute psychosisHiki ulichoandika ni sawa na kusema kazi yoyote ntafanya hata udaktari.
Maumivu ni makali sana, enjoy football Mkuu.View attachment 3297401
Mzunguko wetu unaendelea leo tuko hapa
Juzi Moyes anahojiwa kuhusu jinsi Rice alivyofit kwenye Arsenal midfield akasema, “Arsenal fans still owe me £50M for Declan”Milioni 100 yetu inatubeba.
Kama Arsenal ina mid players na iko nafasi ya pili kwenye ligi huku ina majeruhi 10+ na iko njiani kwenda nusu fainali CL basi tusubiri siku Arsenal ipate world class players kama Nyumbu ili ichukue kabisa makombe. Ni bahati mbaya nyumbu wapo nafasi ya 15 msimu wa nne mfululizo.View attachment 3297401
Mzunguko wetu unaendelea leo tuko hapa
Hii JF inatunza record za kihistoria vilivyo . Wakati uzi huu na comments hii inawekwa hapa JF nilikuwa daresa la kwanza. Kama bado upo humu mkuu wanagunners typo wengiJmani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
Siasa kila wakati inaboa jama
![]()
Hippopotamus.Acute psychosis
Hivi hatuwezi vunja bank tuchukue yule msomali wa Newcastle aisee???? Yule mwamba ni finisher mzuri mno!


Kroenke's wameshasema hawana pesa za kuchezea hovyo, wanadai huyo Moringo wenu ni bora zaidi kuliko hata huyo msomali, hivyo dirisha kubwa la usajili wanasema hawaoni sababu yoyote ya kusajili foward.