mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,694
- 19,545
Kipindi partey anasumbuliwa na majerui, kuna shabiki wa nyumbu nilimuambia bora partey majerui kuliko casimiro ambae always yupo fit
Nikaenda mbali zaidi, nikamuambia bora cr7 mzee kuliko rashford kijana
Oya wazee huyu partey aongezewe miaka miwili
Nikaenda mbali zaidi, nikamuambia bora cr7 mzee kuliko rashford kijana
Oya wazee huyu partey aongezewe miaka miwili