Kimtindo tu... Bado hajapata clear cut chance kama alizopata Ramsey.... Ila anajua kujiposition....
Former Arsenal defender Lee Dixon is at Emirates for BBC Radio 5 live: "I've no idea what Santos is doing. He just stands and lets opponents run behind him. He's got no idea what he's doing at left-back. He cannot defend!"
Komaa man..... this lyf is all abaout Benjaminz!!!! Make money first....
pamoja, ramsey kazingua sana kipindi cha kwanza,ngoja tucheki 2nd half.. Kakosa magoli mawili ya wazi.
Mimi naskiliza kwenye bbc radio 5 live lakini kwa mujibu wa Dixon Santos haeleweki kama yeye ni beki ama winga.
CL muhimu sana kutumia nafasi, inabidi wawe makini sio.
2nd half nina huakika Van Persie atakuja kuokoa
so far tunacheza vizuri......
Mimi naskiliza kwenye bbc radio 5 live lakini kwa mujibu wa Dixon Santos haeleweki kama yeye ni beki ama winga.
PER ndo man of the match kwa hii 1st half... very nice n fine intercepts..... Ramsey kakosa magoli ya wazi kabisa... Walcott na Gervinho wote walikua na very nice game..... Jenkinson safi... Nadhani hata Sagna huko aliko atakua namkubali dogo.... @nd half ni kuacha upuuzi wa kukosa magoli ya kijinga and the winning bread will be on the table for us to cheer up....