Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Duuh!naona benchi linamnyemelea Per coz TV5 ndo anarejea mdogo mdogo halafu pia Wenger anaonekana kumkubali sana Koscienly.
Wenger knows kuna mechi nyingi sana watapokezana tu, lakini naona kesho Thomas ataanza tuchubiri tuone bora tufunge biashara kesho tukomalie mashindano mengine. Then tuwaone kina Park, Oxlade na Ryo wanavyoweza kufanya vitu vyao .... ..... .....