Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Namtafuta Peasant wakuu.........Mmenionea wapi Peasant?
tatizo lako unafikiri uko entitled kupewa pongezi wewe tu sio vinginevyo. Mbona wewe hutoi hizo pongezi unazotaka kila Chelsea inaposhinda?!
Wenyeji wa hapa hongera sana kwa 'ubatizo' mliowapa jamaa!! Najaribu kukokotoa jina hapa maana league hii ni uchuro mtupu... Chelse5, Blue5 au ChelseaFive kabisa??? Amueni wenyewe... Hongereni tena.
Rev Fr Masanilo uko wapi? Nilikutabiria tangu J4 kuwa tusikimbiane leo,uko wapi mkuu?Adui mwombee njaa,cha ajabu ni pale Van Persie atakaposaini long term na Arsenal,na hili naliandika na litatokea.Kwa ushauri wangu ni kuwa tusikimbiane hapo J'mosi mchana.
swahiba this time lazima ulambe sana gambe....Wakuu.....
Nasikitika kwamba tangu ijumaa niki safarini na sikuwa na access ya internet wala TV na nimeingia mjini jioni hii so sijafuatilia derby ya Dsm ya Yanga na Simba wala hii ya derby ya London ya Chelsea na Arsenal.....
Nimefurahi kuona timu zangu zote leo zimeshinda katika derby zao so weekend yangu inaenda barabara kabisa.....
Chonde chonde jirani zangu msimtimue AVB.......
Hongereni sana Ze Ganaz wenzangu...
Arsenal: Together We Stand
Huenda hii ilikuwa wikiendi yako nzuri sana mwaka huuWakuu.....