Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kasi ya kushambulia imepungua kwa ars8, ni kama wanajilinda zaidi! na marseile wanakuja kwa kasi. metsacker anaokoa pale!
 
OM wanakuja kila dk..... tunaonekana kuchoka sana wakati tumefanya sub za kutosha sana....
 
Hii 2nd half ndo tumeharibu kabisa... Hatuwezi kumili mpira hata kwa dk moja?????
 
Draw sio mbaya... Ila generally tumecheza hovyo..... Hovyo kabisa,,,
 
game ilikuwa nzuri defence yetu naona imekuwa solid ...

sioni kwamba wenger ni wa kulaumiwa wapinzani wetu pia walikuwa na defence nzuri ...
 
Sio matokeo mabaya sana,katika soka mara nyingi ni vigumu kuwa na mechi mbili mfululizo katika kipindi kifupi na kufanya vizuri mechi ilyopita imekuwa na Impact na matokeo ya leo nadhani hata tukitazama matokeo ya Chelsea vs Genk hili tutaliona.
 
Kundi bado limekaa vibaya game ilikuwa muhimu kushinda.

Arsenal 8
Marseille 7
Dortmund 4
Olympiacos 3
 
game ilikuwa nzuri defence yetu naona imekuwa solid ...

sioni kwamba wenger ni wa kulaumiwa wapinzani wetu pia walikuwa na defence nzuri ...

naona mertesacker amekuwa more confident alipocheza na vermaelen.
 
Back
Top Bottom