Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
Bro tatizo la Arsenal ni zaidi ya Striker. Of course tunahitaji Striker lakini Nafikiri ni mentality zaidi. Kukosa ubingwa muda mrefu Arsenal imewafanya kuwa na mentality ya uoga sana hasa kwenye mechi zilizo na pressure. Roho ya upambanaji hawana ni waoga wa mechi sana hasa timu ambazo hatuna historia nazo nzuri uwanjani. Ukweli ni kwamba wachezaji wetu hawajui kucheza mechi hasa zinazoamua mustakabali wa nafasi yao katika kutafuta ubingwa. Liverpool hao hapo hawana striker wa maana lakini unaona spirit ipo na hata ukiangalia kikosi Chao ni kawaida tu.. It's all about mentality.. Rodrigo hakukosea
Leicester hawakuwahi kuchukua ubingwa before lakini ilipofika muda wakaona ubingwa huu hapa mbio zake zilikua za maana sana.
Jinsi unavyozidi kushinda ndo mentality inakuwa kubwa na si vingine , hii mentality kwa miaka mingap mnaitafuta ? Toka enzi za wenger kuna msimu ule ramsey on fire ikafika x mas holla , msimu na leicester arsenal kashinda with one game in hand na swansea mkaongoza half time kipindi kilichofuata mkatiwa mbili game ikaisha ubingwa mkakosa rasmi , game na leicester welbeck alipiga kichwa last second nikavua mpaka shati [emoji28] nikaona ubingwa si ndo huu.
Game na Bournemouth ivyo ivyo nikavua shati nikaona ubingwa si ndo huu goli alilolipiga nelson .
Kilichofuata nikavua jezi ya arsenal nikasema false hopes basiiiii!!!!!!!! For 20 years it’s enough.
HAKUNA CHA MENTALITY NYINYI NI FUNGU LA KUKOSA[emoji23]