Amepoteza confidenceOdegaard ambaye ni mguu wa kushoto anaacha kushuti akiwa sehemu ya kuweza kushuti anampasia mwenzake ambaye ni mguu wa kulia
Hapo bado unaambiwa tunaletewa Rashford, baada ya sterling kufeli
Bro tatizo la Arsenal ni zaidi ya Striker. Of course tunahitaji Striker lakini Nafikiri ni mentality zaidi. Kukosa ubingwa muda mrefu Arsenal imewafanya kuwa na mentality ya uoga sana hasa kwenye mechi zilizo na pressure. Roho ya upambanaji hawana ni waoga wa mechi sana hasa timu ambazo hatuna historia nazo nzuri uwanjani. Ukweli ni kwamba wachezaji wetu hawajui kucheza mechi hasa zinazoamua mustakabali wa nafasi yao katika kutafuta ubingwa. Liverpool hao hapo hawana striker wa maana lakini unaona spirit ipo na hata ukiangalia kikosi Chao ni kawaida tu.. It's all about mentality.. Rodrigo hakukoseaPamoja na hizi misses zote bado wapuuzi wanakuambia hakuna haja ya striker
Kwa hii game huko uefa mtoano ukianza sijui itakuwaje.Nalitizama chama langu linanisikitisha, usishangae hawa viwete wako pungufu na wakaja kututoa hata kwa penati.
Mentality yes.Bro tatizo la Arsenal ni zaidi ya Striker. Of course tunahitaji Striker lakini Nafikiri ni mentality zaidi. Kukosa ubingwa muda mrefu Arsenal imewafanya kuwa na mentality ya uoga sana hasa kwenye mechi zilizo na pressure. Roho ya upambanaji hawana ni waoga wa mechi sana hasa timu ambazo hatuna historia nazo nzuri uwanjani. Ukweli ni kwamba wachezaji wetu hawajui kucheza mechi hasa zinazoamua mustakabali wa nafasi yao katika kutafuta ubingwa. Liverpool hao hapo hawana striker wa maana lakini unaona spirit ipo na hata ukiangalia kikosi Chao ni kawaida tu.. It's all about mentality.. Rodrigo hakukosea
Tutadharirika tu, ukutane na madrid wamekunja sura ukacheze mpira huu, wanakumemena mchana kweupe.Kwa hii game huko uefa mtoano ukianza sijui itakuwaje.