Mimi ni arsenal, ila kwa hili nakataa Kumbuka ume tuandalia ubingwa kila msimu
View attachment 3196273


Sijui Arsenal wanakwama wapi?Everton wameachana na Sean Dyche
Maresca amekalia kuti kavuSijui Arsenal wanakwama wapi?
Tumpe mwaka kwanza, kwa hii miezi sita utakua unamuonea.Maresca amekalia kuti kavu
Arteta agewe 1B ya kusajili na bargaining power ya ridiculous contracts asigewe mudaTumpe mwaka kwanza, kwa hii miezi sita utakua unamuonea.
Au tumpe miaka saba ya kujenga timu kama tapeli wenu.
Kuna idea ipo kwa mashabiki mtaani na humu pia, ikiongozwa na hamis77 kwamba Arteta is IRREPLACEABLE.


Ukimsikia sasa Masingeli anavyompamba huyo Tetea kwa kumpa sifa za Masterclass, Tactician, Genius unaweza kudhani huyo Tetea alishawahi kupata tuzo ya Ballon d'Or, kumbe kwenye maisha yake yote ya soka na miaka yake 12 aliyoitumikia Arsenyo hajawahi kubeba kombe lolote la maana zaidi ya FA na Emirates. Afadhali... avg players waendelee kujitoa wenyeweTrossard kagoma kuongeza mkataba
kama umegundua kati ya top 6 teams ni timu yetu tu ndio ipo hovyoo kwenye transition moments, kwenye top flight unahitaji kuwa bora in different game aspects, why are we worse in transition? tunakosa profile kama Rashford. Unahitaji wachezaji wazuri kwenye hizo moments, sisi tunaye Martinelli, Saka ni mzuri kwa transition sababu ya brain ila kasi yake sio sawa na Rashford au Martinelli, tunaye havertz ambaye ni mzuri kwenye hizi moments ila mchezeshaji ni Odegaard, ingekuwa havertz na bruno impact ungeiona, saka X Rashford X Martinelli hapo lazima wafungee kwa transitionsKama kuna kitu kinaniumiza kichwa ni hizi taarifa za flop rashford kuja arsenal.very disgusting news.
Tulichukua Sylvester,welbeck,Gallas,William,harvets, sterling nk don't we learn a lesson?.
Hakuna timu first class itakubali kukupa potential player unless kuwe na very critical reaso kama ya kimahusiano au very deep competition ya namba.
Rashford kwangu ni mchezaji mvivu na mwenye bahati kiasi ila mwenye big EGO
afu kuna sisi sasa ARSENALTayari City katumia 170M dirisha hili la usajili
kama umegundua kati ya top 6 teams ni timu yetu tu ndio ipo hovyoo kwenye transition moments, kwenye top flight unahitaji kuwa bora in different game aspects, why are we worse in transition? tunakosa profile kama Rashford. Unahitaji wachezaji wazuri kwenye hizo moments, sisi tunaye Martinelli, Saka ni mzuri kwa transition sababu ya brain ila kasi yake sio sawa na Rashford au Martinelli, tunaye havertz ambaye ni mzuri kwenye hizi moments ila mchezeshaji ni Odegaard, ingekuwa havertz na bruno impact ungeiona, saka X Rashford X Martinelli hapo lazima wafungee kwa transitions


Rashford tunamtoa kwa bei ya hasara tu, tupeni £80m fasta tuwagee teka la ball awapatie Epl
kabla Madrid hawajamuwahi kwa £120m.Nakubaliana na wewe kwamba hatuna transition killers.kama umegundua kati ya top 6 teams ni timu yetu tu ndio ipo hovyoo kwenye transition moments, kwenye top flight unahitaji kuwa bora in different game aspects, why are we worse in transition? tunakosa profile kama Rashford. Unahitaji wachezaji wazuri kwenye hizo moments, sisi tunaye Martinelli, Saka ni mzuri kwa transition sababu ya brain ila kasi yake sio sawa na Rashford au Martinelli, tunaye havertz ambaye ni mzuri kwenye hizi moments ila mchezeshaji ni Odegaard, ingekuwa havertz na bruno impact ungeiona, saka X Rashford X Martinelli hapo lazima wafungee kwa transitions
Tatizo hili limesababishwa na nini maana wachezaji ni wale wale.Nakubaliana na wewe kwamba hatuna transition killers.
Ila unamuona rash akiwa cream tunayoihitaji.?
Wakati unaangalia namna tutakavyoshambulia kumbuka pia namna tunavyojilinda.kwa setup ya team yetu tunaishi na hii sentensi"the first line of attack is the first line of defense" rash ataweza?
Una odergard na harvets ambao kiulinzi sio wazuri sana,ukiongeza rashford huoni kama tutaongeza team imbalance?.
Kwangu Mimi namuona rashford kama mtu ambaye anatakiwa kuzungukwa na cream ya Hali ya juu mnoo ili akupe quality.
Katika kitu tumepoteza ni fluidity tunapoanzisha mashambulizi na interceptions tunapojilinda.rush ni mzuri kama system imekaa sawa.tunahitaji a lethal,brutal,peaceable,dribbler and very clinical person pale mbele.rash ana offer vitu vichache sana.
Kama unakumbuka wakati arteta anapewa timu matarajio na mafanikio yalipangwa kwa phases.Tatizo hili limesababishwa na nini maana wachezaji ni wale wale.