ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,549
- 7,987
Refa kawabeba sana nyie nyumbuz. Mpaka sasa tulitakiwa tuwe tunacheza na wachezaji wenu tisa au nane uwanjani.
Wewe ndio MJINGA wa mwisho kama sio wa kwanza.Refa kawabeba sana nyie nyumbuz. Mpaka sasa tulitakiwa tuwe tunacheza na wachezaji wenu tisa au nane uwanjani.
Kampa Man U red card, Kakupa penalt ukakosa unataka akupe nini tena, matako!

