Kwa mantiki hii Bruno Fernandez ni bora kuliko Zinedine Zidane kwa kuwa ana goals na assists nyingi. Si ndio unachoongelea hapa?Hata wewe nikikuambia Kati ya saka na Palmer yupi ungependa awepo kwenye timu yako kimoyomoyo ungesema Palmer kwenye mechi 50 alizochezea Chelsea amechangia magoal 50 for both goals & assist nipe takwimu za Saka
Palmer hakupi tu goal na assist anakupa Sanaa ya mpira na huwa akai kwenye position moja utamkuta kwenye winger, katikati na sometime anashuka chini alafu Ana press na kumchezesha team kitu ambacho Saka hawezi kukupaKwa mantiki hii Bruno Fernandez ni bora kuliko Zinedine Zidane kwa kuwa ana goals na assists nyingi. Si ndio unachoongelea hapa?
Wameona wachonge wao wenyewe.
Hivi hiki kijiwe Chenu si bora hata muanze kujadili jinsi ya kucheza kamari za BIKO na TATU MZUKA ?Anamuweka benchi au hamuweki benchi?
Yaani makapi toka Chelsea ndio stars tegemeo kwao , ama hakika Arsenyetoz waliachiwa laana nzito na WengerGabriel Jesus
Zinchenko
Sterling
Jorginho
Havertz
Halafu mnataka ubingwa. Magarasa tupu.
Afya ya akili tatizo jingine hatari sanaYaani makapi toka Chelsea ndio stars tegemeo kwao , ama hakika Arsenyetoz waliachiwa laana nzito na Wenger
Leo hamchomoki kwa kibonde Everton , ni mwendo wa kipondo au mkibahatisha draw , Sisi tuko palee tunawapiga chabo tuArsenal tumefikia uwezo wa kumuignore Partey mid?
Sidhani. Haswa kipindi hichi
Mna laana ya Wenger ,kamuombeni mzee msamaha ,ninyi leteni mzaha , mtaishia kubeba vibuyu vya ulanzi na makarai ya zege kama makombe yenu ya trophiesAfya ya akili tatizo jingine hatari sana
Msaada anaye stream anatumia website gani ndugu zangu....leo Yacine TV naona gemu yetu wameamua kutoonesha....msaada waungwanaNafikiri huu ndiyo msimu ambao Everton ipo hovyo tangu niwajue, hata Hakika Ruben alivuna points tatu kwa kuwakuta hawa watu wapo hoi.
Next game baada ya kigenge cha Hakika Ruben ilikua dhidi ya Wolves and stunned football world kwa kuifunga wolves nne bila. Mechi yao na Liverpool ikaahirishwa so wamepumzika vya kutosha na bado morali ya ushindi uliopita wanayo.
Bado majeruhi wetu ni walewale. Kikosi chetu inatarajiwa Kai na Trossard kuanza, Partey bado atakosekana kwenye mid so game should be the usual. Lack of electric play and a lot of unnecessary passes