Naona umeandika hivi
"Kwa sasa Saka anakula benchi labda kama hujaangalia mechi za mwisho za England"
Mimi hua sipendi watu wabishi ambao hata hawajui kitu ila wanakomaa kuleta ubishi wa kitoto. Hizi ni tabia za mashabiki wa united naona chelsea mnazivamia hizi tabia.
Hizo mechi unazosema England kashinda nyingi Palmer hakuanza. Na siyo tu hakuanza hata kwenye kikosi hakuitwa badala yake aliitwa Madueke.
Tangu kocha ni Southgate England chaguo la kwanza ni Saka. Hata alipokuja Lee Carsley chaguo la kwanza ni Saka. Katika career ya timu ya taifa Palmer amewahi kuanza mara mbili tu maisha yake yote.
Na ya mwisho anaanza ni kwenye game na Finland anatolewa anaingizwa Madueke. Na hapo ameanza kwakua Saka hata kuitwa hakuitwa timu ya taifa.
Ikatokea Palmer na Saka wameitwa timu ya taifa ni lazima Saka aanze kama mechi ni ya muhimu. Mechi ambazo Palmer kaanza ni ambazo Saka hakuepo kabisa timu ya taifa.
Sasa nitajie ni mechi gani Palmer kaanza na wakashinda nyingi England