Saka Hana uwezo wa kumweka Palmer benchi sema Ni vile Saka nimchezaji ameanza kuingia kwenye team muda mrefu than Palmer but kwa viwango vyao Palmer Ni better than sakaObservation yako ni ya shabiki zaidi kuliko ya kiufundi.
Mfano mimi pia naona Kai hafai kuanza ila kocha anamtumia huyo huyo. Yeye ana sababu zake za kiufundi mimi naangalia kama shabiki.
Akija kocha mwingine na yeye akaendelea kumtumia Kai hapo sasa itabidi niangalie ni kipi sikioni ambacho mchezaji anacho.
Southgate kamtumia Saka kipindi chote. Amekuja kocha mpya anamtumia Saka. Hapo sasa ni wewe uangalie ni kipi hukioni kwa Saka.