Mbona naona hapa laivuscore 1-1 hyo la pili kafunga baltazary nn😁Tayari 1-2
Hapana Bournemouth kashindaMechi za leo zote ni suluhu
nani tena kaka timu yetu ina mentality ya kitotoHatuna kocha,hatujawahi kushinda Partey akianza kama beki,na anaendelea kumchezesha huyu mpuuzi
Chelsea game ya Leo anashindaMechi za leo zote ni suluhu
Trossard sio mchezaji wa first eleven, hua ni game changer mzuri sana akitokea sub, ni vile tu mna kocha asie malengo ya ubingwa, Tetea akili yake hua inawaza tu kuingia top4, ndio maana kila msimu anarudia makosa yaleyale.Siku Trossard akichagua kuwa hovyo, anakuwa hovyo kweli kweli
Nakukattalia trossard hata akiwa na mpira unapata gootball idea nini anachotak kufanya na malengo lkn martinell anacheza macho yanaangalia nyasi arteta ambadili namba huyu mtt acheze 9 from substitutionTrossard sio mchezaji wa first eleven, hua ni game changer mzuri sana akitokea sub, ni vile tu mna kocha asie malengo ya ubingwa, Tetea akili yake hua inawaza tu kuingia top4, ndio maana kila msimu anarudia makosa yaleyale.