Ferguson united
Member
- Aug 20, 2024
- 68
- 146
Watachomoa tu spurs ni kizungumkuti japo nafahamu Toka enzi za kina Micheal Dawson Chelsea alikua anasafa sana kumfunga spursAnaongozwa
Watachomoa tu spurs ni kizungumkuti japo nafahamu Toka enzi za kina Micheal Dawson Chelsea alikua anasafa sana kumfunga spursAnaongozwa
La piliWatachomoa tu spurs ni kizungumkuti japo nafahamu Toka enzi za kina Micheal Dawson Chelsea alikua anasafa sana kumfunga spurs
ThubutuWatachomoa tu spurs ni kizungumkuti japo nafahamu Toka enzi za kina Micheal Dawson Chelsea alikua anasafa sana kumfunga spurs
Shauri Ako Spurs nyuma panavuja sana Goli zote zinarudi hiziT
Thubutu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii timu haina tofauti na wale mademu wanaoliwa kimasihara katika ule uzi wako pendwa.Hivii hii timu ishawahi kuwa na malengo yoyote kama timu ya mpiraa au ndo imradi imecheza mechii.!!
VIpi mkuu bado chelsea hawajachomoa😂😂T
Thubutu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Matapeli tu nyie
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Spurs, Brighton na Arsenyau hizi timu bado zina mentality ya mid table team, hata msimu uwaendee vizuri kiasi gani lakini lazima watawadiscourage mashabiki wao, na mwisho wa msimu wanatoka mikono mitupu.
Ni mara 100 ushabikie N.Forest au Leicester City kuliko kushabikia timu tajwa hapo juu ambazo zote ni Fungu la kukosa Fc.
Najua ulipo sasa unaumia kweli kweli🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu hii siyo ya chelsea ya msimu uliyoisha......this is new chelsea.T
Thubutu