Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Kuna mifano mingi ila nataja mmoja.
Martin Odegaard alionekana hafai Real Madrid ila ndiye kapteni wa timu yetu na play maker tegemezi.
Gyokeres kuonekana hafai huko kwingine na kuona ni upepo unambeba Sporting ni shabiki wa Chelkenge anavyomuangalia Kai akiwa Arsenal
Sasa kuwafanya tegemezezi average player aina ya Odegaard huoni kuwa ndiyo sababu ya kuwa hamushindi chochote?
Mbona unatoa mifano ya kujikwamisha mwenyewe?
Au unaona Real ni wajinga kumuacha Odegaard?