Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Series of strange resultsMan City anasuluhu na Feyenoord
Series of strange resultsMan City anasuluhu na Feyenoord
Pep seemed frustratedSeries of strange results
Hamna mtu humoGyokeres atatufaa
Umesahau kacheza na best CB duo in the world kwa sasa na ameweza kupata shots on target na nyingine ikahit woodwork.Hamna mtu humo
SikupingiUmesahau kacheza na best CB duo in the world kwa sasa na ameweza kupata shots on target na nyingine ikahit woodwork.
Unaidharau defense ya Arsenal?
Kai amescore tap in kisha akakosa nafasi ya wazi.Sikupingi
Kama kurud EPL tena, kwa ile style yake EPL itamshinda tena
Usimchukulie poa kaiView attachment 3163046
Kwenye mpira, ukipata pass au upo na nafasi ya kufunga huwa nguvu inaongezeka tu. Hii experience kama umeshawai kucheza mpiraKai amescore tap in kisha akakosa nafasi ya wazi.
Ila kiukweli jana kajitahidi kwenye link up
Forward yetu yote hakuna inayoweza kwenda physical na defender na kushuti. Kwa EPL ni Vardy, Watkins na Antonio wanaweza hivyo na kuscore.
Gyokeres miguu imechoka ila alimkimbiza Kiwior na kupata woodwork shot. Hapo Kiwior ana dakika moja tangu aingie
Gyokeres jana alikabwa na Saliba, Gabriel, Odegaard na Partey.Kwenye mpira, ukipata pass au upo na nafasi ya kufunga huwa nguvu inaongezeka tu. Hii experience kama umeshawai kucheza mpira
Kai ni moja kati ya forward sumbufu, kwenye build up, pressing and attacking kote yupo, kama ulivyo-appreciate kwa performance ya jana kai ameupiga sana, reason behind kulikua kuna watu wanaojua jinsi ya kucheza nae
Gyokeres yupo too predictable
Anahitajika striker lakini sio GyokeresGyokeres jana alikabwa na Saliba, Gabriel, Odegaard na Partey.
Kwanini tumekua na slow start msimu huu ingawa Kai yupo tangu mwanzo?
Unamaanisha haihatajiki ST au hahitajiki Gyokeres?
Gyokeres, games 25 magoli 33.Anahitajika striker lakini sio Gyokeres
Kai anahitaji kuchezeshwa na namba 10 na 8 wazuri bila kusahau wingers(7 and11) wenye kasi
Hao waki-struggle, kai lazima apoteane ila muda wowote anaweza kukuua
Sometimes statistics hazi-guarantee consistency ya mchezaji. Jamaa upepo mzuri umemtembeleaGyokeres, games 25 magoli 33.
6 kascore UEFA.
Arsenal tumescore goli 8 UEFA.
What does this tell you?
Kuna mifano mingi ila nataja mmoja.Sometimes statistics hazi-guarantee consistency ya mchezaji. Jamaa upepo mzuri umemtembelea
View attachment 3163326
Gyokeres anatisha kaka,Hamna mtu humo
Na kuna mifano mingi sana ya vice-vers ya ulichoandikaKuna mifano mingi ila nataja mmoja.
Martin Odegaard alionekana hafai Real Madrid ila ndiye kapteni wa timu yetu na play maker tegemezi.
Gyokeres kuonekana hafai huko kwingine na kuona ni upepo unambeba Sporting ni shabiki wa Chelkenge anavyomuangalia Kai akiwa Arsenal