Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 712
- 1,300
Arse8 might be blind, losing point is what they deserve. It is what they feel.
Mbona kma umekataaa tamaaa mapema sana mkuuiLiva aweza shinda ligi
Sisi kila msimu tunabeba makombe na bado tumemuona kocha hatoshei tumemtimua, sasa nyie wenzetu Tetea mwaka wa 6 huu hana kitu yoyote zaidi ya ka MwanaFA kamoja tena amekapata kwa assist ya Corona Virus halafu wenyewe mmeridhika kabisa, tukiwaambia mna mentality za mid table team mnakua wakali.Mbona nyinyi hamna kocha wa kueleweka na mnanenepa






Haya sawa atashinda Arsenal.Liva aweza shinda ligi
Haya sawa atashinda Arsenal.Liva aweza shinda ligi
Kila msimu unapoanza unajipa natumaini pengine Arsenal wameelewa namna ya kucheza ligi.. Lakini unashangazwa kuona makosa yaleyale yanajirudia. Timu ina gape la zaidi ya Points 5 na aliye juu lakini hauoni timu ikishtuka kutaka kitu. Kuanzia kocha selection ya wachezaji mpaka uwanjani ni hakuna cha maana. Ukweli ambao huwa tuna ukataa ila utabaki kusimama, ni tuna mentality ya timu ndogo. Bado unajiona ni Inferior. Kila siku wachezaji wetu ni watoto tu hauoni kubadilika. Mechi ya Liverpool timu ilikuwa inaongoza moja na kipindi cha kwanza walicheza vizuri. wameingia kipindi cha pili wakaanza kucheza defensive game mpaka goli likarudi then wakashtuka wanataka nini wakaanza kushambulia. Hizi ni akili za timu ndogo. Washabiki wa Arsenal wengi wanafurahi leo Man city pengine anadondosha point lakini mathematically hakuna faida kwasababu City si timu ya kudondosha point kirahisi hivi karibuni ili uweze kumpata.. Sitaki kuwaongelea Liverpool kwasababu wote tunaona msimu huu wamekuja vipi.


Tafuteni kocha wa kueleweka, Tetea ni mid table coach, uwezo wake unaishia kuiwezesha timu kuingia top 4.


😂😂😂😂 hawq ma false hopers saivi wanatia huruma zile false hopes zinaanza kufifia mapema tena this season tusishangae wakarudi walipotoka.Bado hamjachelewa mchukueni hata 10Hag kabla hajabebwa na timu nyingine halafu mtakuja kunishukuru baadae.
Ndugu yangu Labyrinth 84 nakuomba uje utoe neno lolote humu huenda hawa mayatima wakafarijika na busara zako.
Hapo vipi ?? bado unalakusema ?Kesho kina Labyrinth wana alama zetu 3.
Mpaka leo huwa nashangaa sana mtu anaamuaje kuhamia Newcastle eti kisa wameingia top 4 msimu mmoja kwa kubebwa bebwa
wewe mpira unaangalia kweli?? wenger alikua ana kikosi cha bei chee na bado alikua analeta upinzani ? toka arsenal imeaanza hakuna kocha aliepewa back up ya maana kama arteta na bado zero trophy.Unaonaje, hiki kikosi cha misimu hii mitatu angekuwa nacho Prof. Wenger tungefikia alipofikia Arteta?
wewe mpira unaangalia kweli?? wenger alikua ana kikosi cha bei chee na bado alikua analeta upinzani ? toka arsenal imeaanza hakuna kocha aliepewa back up ya maana kama arteta na bado zero trophy.Unaonaje, hiki kikosi cha misimu hii mitatu angekuwa nacho Prof. Wenger tungefikia alipofikia Arteta?