christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,150
- 5,065
Tena amuombe radhi baba wa watu kanyanyua kwapa mara 2. Na kusema ukweli Ten hag alianza kufelishwa na majeruhi msimu wake wa kwanza na wa pili. Ilianza beki Luke Shaw, Malacia, Casemilo ambaye ndiye alikuwa kiungo tegemeo hapo ndipo akapoteza formation akaanza kucheza papatu papatu mradi ashinde chochote. Mimi ni Arsenal dama tesema ukweli daima fitna kwangu mwiko, Arteta must go.Acha kumfanisha Ten Hag na vitu vya kijinga kijinga, ukiwa na 10hag haumalizi ligi mikono mitupu, unakua na uhakika kila msimu unabeba kombe.
