Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kesho kina Labyrinth wana alama zetu 3.

Mpaka leo huwa nashangaa sana mtu anaamuaje kuhamia Newcastle eti kisa wameingia top 4 msimu mmoja kwa kubebwa bebwa
Hongereni kwa alama 3...ama kweli this is epl wqzee. Wa boko haramu football kulikoni tena😂😂😂
 
Arteta trick kids wamelambwa mbaya sana aaaah hawa wakora wameisha aise😁😁

saizi hawa hawa heshimiki tena ni kuchapwa tu🤣🤣

Ni rahaaa tupu wakubwa.
1692552522209.jpg
 
Piga umbwaa, ! Unataka Eipielo na Yuefa ukiwa na foward kiazi Kai ? Jesus ?

Huyo Merino mliekuwa mnampamba humu ndio yeye ama tumsubiri aje ???

Arsenal zaidi ya Saliba, Raya, Saka na Rice hakuna mchezaji mwingine yeyote wa maana, wanabahatisha na sio consistent ,,,, hata captain wenu ni wale wale maji kupwa na kujaa,,,,Leo kacheza poa kesho anaharibu,,,, Gabriel Malgh ndo jinga halina akili kabisa nguvu nyingi tu na rafu, G martinel huyu tumuache tu maana hanaga akili kabisa

Kula chuma hiko,,,, Eddie Howe anawapatia sana
 
arteta nyumba aliyoanza kuijenga ilibakia finishing lkn anaibomoa tena mwenyewe kwa mikono yake.

merino bado hatakiwi kuingia kwenye XI kwa haraka namna hii ;partey ama jorginho ndio wanatakiwa ku partner na rice kwenye mid kwa ssa.
 
Back
Top Bottom