BONNIE GOLD
JF-Expert Member
- Jan 27, 2021
- 467
- 937
Wajalana
Madam nifah niko na wewe mpaka wakuue 😅Hivi hiki kijamaa kitatunyanyasa hadi lini? Tumeshindwa kukadhibiti kabisa?
Umemuona sista Mwanaheri ???Wewe ni mwanaume? Unawezaje kufikiria na kumtaja mwanaume sister?
Unaonaje, hiki kikosi cha misimu hii mitatu angekuwa nacho Prof. Wenger tungefikia alipofikia Arteta?Predictable style of play... Bw Mikel hana plan B, Babu Wenger kipindi kile hata tukiwa pungufu tungeweza kushinda mechi ila Bw Mikel hamna, sahau
Predictable style of play. Hakuna plan B.Hivi hiki kijamaa kitatunyanyasa hadi lini? Tumeshindwa kukadhibiti kabisa?
Kwani Arteta katufikisha wapi?Unaonaje, hiki kikosi cha misimu hii mitatu angekuwa nacho Prof. Wenger tungefikia alipofikia Arteta?