Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
Haya maneno ni ya kweli kabisa 😂 nayaamini 100%.Chelsea atashinda EPL kabla ya hiki kikundi chenu cha wapika Gongo.
Huna timu ya kuchukua EPL huna NEVER sahau.
Chelsea atachukua EPL kabla ya arsenal, neno "kabla ya arsenal " nimelitumia vibaya maana arsenal hawezi beba EPL.
Kombe zito lile sioni mchezaji yeyote wa false hopers kulinyanyua.