Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,079
Refaaaa kwetu chanika, gizaaaaa
Nyaya tayari zimeachia kichwani #BangiMbayaSanaadriz wee ni nyauuuu
Mwambie alale pambaaaaf. Mara ya kumi mnakuja hapa Etihad na hamjawahi kushinda.Rayaaaa lalalaaaaaa mwanangu
Vijana wamepambana Sana COYGNimeumia, nimeumizwa.
Sio mbaya, tumepambana vyema tukiwa pungufu.