Nicorandil
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 268
- 760
We are not bottling this season.
Arsenal 4-0 Bolton
Arsenal 4-0 Bolton
Arsenyetoz mikwara mbuzi mingi sana ninyi , kila msimu ninyi ni loosers tu , ndoto ya kubeba Epl wala UEFA hiyo futa kabisa akilini mwenuNi suala la mashabiki na vilabu kubadili tu mtazamo wao kuhusu arsenal.mfano.
-ilizoeleka ukitaka kuwashinda arsenal, bully them.kwasasa kuna watu ni wababe balaaa
-ilizoeleka arsenal hatuwezi physical games.aisee usijaribu kupishana na sisi ili eneo maana utaumia.kuna watu wana msuri balaa na kama huamini muulize haaland.
-ilizoeleka arsenal hatuwezi big games hasa kwenye viwanja korofi kama OT,anfiled,etihad na uwanja wa tot ila kwasasa we tuite popote na utapewa show ya kibabe.
-Ilizoeleka tuna kocha mstarabu,mpole na anamwachia mungu ila kwasasa we have a dark arts master coach.anamoto,ana midadi na anapambana jino kwa jino
-Ilizoeleka sisi ni wazee wa beautiful football na entertainers ila kwasasa ni mabingwa wa haramu football.juzi tulipaki meli nchi kavu
-Ilizoeleka mchezaji akikosa plan A na B basi anaamua kuja kwetu.kwasasa sisi tunachagua nani aje na nani asije.Tukikwambia njoo ukileta poz ni haturudi mazima.
Onyo:mashabiki wa timu pinzani mna muda wa kufurahi kipindi hiki hatuna proper striking force,ila siku tukipata striking force ya maana trust me mtajuta kukutana na sisi.
Kiangazi anaondoka jogi,partey na jesus halafu watakuja watu hasa na natamani midle iwe na mchanganyiko wa mhispania na mtu toka america.deadly and leathal
Inaendelea lini mkuu
Tarehe 30/10Inaendelea lini mkuu
Unamjua jamaaa anaitwa Tariq Lamptey?Hata Nico kama namuelewa vile, tatizo ufupi
Yupo vizuri hiyo dogoUnamjua jamaaa anaitwa Tariq Lamptey?
Naona kimo siyo ishu pia kama atamanage kua fit na nidhamu. Hata Timber sidhani kama ana urefu huoYupo vizuri hiyo dogo
tabu iko pale pale ni mwendo wa kutoa dozi tuTrossard alipata njano mbili.
Ukigewa njano mbili maana yake utakosa mechi moja.
Njano alizipata kwenye ligi inayosimamiwa na FA. Hivyo mechi moja anayoikosa ni yoyote inayosimamiwa na FA.
Mechi za Carabao zinasimamiwa na FA. Hivyo mechi moja ambayo Trossard ameikosa ni dhidi ya Bolton na Jumamosi anakuepo kwenye lineup dhidi ya Leicester.
Yes hiki kitu nilikiona, anapotea flani hivi katika markingHuyu Calafiori asipojirekebisha tutakuja kumkataa.
Ana high risk high reward attitude. Hii anaionyesha kwenye pasi zake lakini hata katika namna ya kukaba.
Kutokana na hii attitude kwenye kukaba hua anacommit mapema bila kuassess situation hii inasababisha asiwe mzuri kwa timu inayofanya 1 2.
Pia hii hufanya asijue wa kummark.
Goli la kwanza la City lilitokana na hii tabia. Na first shot ya Bolton ilitokana na hii tabia. Na threat ya Bolton mpaka Jesus akaonekana kama anasababisha penalty ilitokana na hii tabia.
Yes hiki kitu nilikiona, anapotea flani hivi katika marking