arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Hii ni Haram football kama ya juzi na Atalantaš¤ š¤ š¤ ....Hiko kiungo hapo kinaonesha Kila kitu....
Hii ni Haram football kama ya juzi na Atalantaš¤ š¤ š¤ ....Hiko kiungo hapo kinaonesha Kila kitu....
City wasahau kufungaHii ni Haram football kama ya juzi na Atalanta....Hiko kiungo hapo kinaonesha Kila kitu....
Unashabikia crystal palace au?Martinell ana gemu 17 hajafunga wala kuassist ! Tunaweka kumbukumbu sawa
Sidhani kama arteta alishawahi mfunga pep pale etihadCity wasahau kufunga
Game draw au city kupigwa
Kweli wanawaogopa sana leo.Mbona city Kama wanatuogopa hivi
Kabisa. Kuscore ngumu sana| Pep Guardiola: āThe question isnāt can we beat Arsenal, itās can we score.ā
View attachment 3099538
Endeleeni kuota KENGE nyieUmuhimu wa Kai umeshindw kuonekana leo kutokana na kubadilishiwa role yake uwanjani. Kai Ni bora kuliko jesus wakicheza kam Top forward pale mbele
Heee mzee unaangalia livescore?Mbona city Kama wanatuogopa hivi