Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

20240922_083646.jpg
 
Sheria inasema mchezaji akislide tackle kwa miguu miwili hata kama ataupata mpira na kutomgusa kabisa mchezaji mwingine hiyo ni red card.

Martinez jana amemrukia Kamada kwa miguu yote ila akagewa red.

Xhaka aliwahi slide kwa double feet akamkosa kabisa mchezaji na mpira akagewa red.

Kompany aliruka slide ya double feet kwa Nani. Nani akamruka Kompany ila Kompany akatolewa kwa red ingawa alimkosa Nani.
 
Niliwabetia nikijua mmeshapata utimamu kumbe bado wagonjwa, na kwa City mmepewa 4 na mhindi. Inamaana hamna namna mnatoka kondoo nyie.
Muhindi ndo anacheza mpira uwanjani sio🤠🤠🤠....sometimes naona kama uko timamu hivi ila kumbe bdo dishi limeyumba....saa 12 karibu sana pale Etihad uone namna Haaland atakavyokuwa anazurura kule mbele
 
Sheria inasema mchezaji akislide tackle kwa miguu miwili hata kama ataupata mpira na kutomgusa kabisa mchezaji mwingine hiyo ni red card.

Martinez jana amemrukia Kamada kwa miguu yote ila akagewa red.

Xhaka aliwahi slide kwa double feet akamkosa kabisa mchezaji na mpira akagewa red.

Kompany aliruka slide ya double feet kwa Nani. Nani akamruka Kompany ila Kompany akatolewa kwa red ingawa alimkosa Nani.
Kama hivi
20240922_003808.jpg
View attachment 3103081
 
Point yangu ilikua kwamba kwa namba 9 Spurs ni bora Solanke kwakua ambaye hua anacheza hiyo namba, Richarlson, ni mbovu zaidi ya Solanke.

Pili, top goal scorer wa misimu miwili, Haaland, ameshindwa kuscore dhidi ya Arsenal. Hauoni kama ST mwingine yeyote utakua unamuonea tu?
Aweeeeeh

Mtoto kautaka, mtoto kautaka

Eti mtoto kalilia nini mtotooo

Oya mwanangu Haaland pelea moto

Ass8 wameutaka wenyewe

We will be there
images.jpg
 
Leo kazini kwa Asaninyau kuna kazi.
Misukule watapigwa nyingi sana leo, salama yao ni kupaki basi na kucheza haram football, ila wakijifanya wabishi kutaka kupishana na kina KDB lazima wiki iwahusu.
images-9.jpg
 
na arsenal woman naona inamkanda man city apa
Moja ya ujinga walifanya timu ya wanawake ni kumuachia miedema,leo amewaonyesha umuhimu wake,huyu ni bonge la mchezaji walimuacha kisa majeraha ya mara kwa mara wakasahau namna alivyowasaidia.
 
Moja ya ujinga walifanya timu ya wanawake ni kumuachia miedema,leo amewaonyesha umuhimu wake,huyu ni bonge la mchezaji walimuacha kisa majeraha ya mara kwa mara wakasahau namna alivyowasaidia.
Mwishowe utasema na kumuachia smith rowe yalikuwa ni makosa kwasababu wanafunga.
Kuna muda unahitaji class ya mchezaji kabla ya kuangalia yuko form kias gani
 
Kama timu yetu haiwezi kutengeneza chances na hakuna wa kupiga shots nje ya box kisa hayupo Odegaard hii inamaanisha inabidi tusubiri mpaka November.

Ni ujinga
 
Back
Top Bottom