Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watu wanahisi kupaki basi kazi nyepesi.

Unahitaji mbinu na wachezaji wanaoelewa mwenzangu akitoka nifanye nini.
Binadamu hawakosi la kuongea....ukipiga mpira mwingi usipate matokeo bado wanakunanga kwamba pasi nyingi magoli hamna...ukipiga low block na counter attack upate magoli bado wataleta vi stats vyao uchwara kwmba ulizidiwa Kila kitu ila umeshinda kibahati🤠🤠🤠....safari hii muendelezo ni uleule hakuna kufungwa na big six yyte....Hawa wengine wadogo tutajua namna ya kumalizana nao...ngoja wachezaji wetu wte majeruhi warudi tutaelewana taratibu
 
Acha kujimwambafai, mshukuruni kwanza spars kwa kuwaekea foward SOLANKE, ndio uje na hizo komedi zako.
 
Ningekua kocha licha y kumpanga kwnye kikosi,siwezi kununua mchezaji takataka kama Solanke.

Kuna kondoo mwenzio kakwambia umwite nyumbu, usisahau basi.
Point yangu ilikua kwamba kwa namba 9 Spurs ni bora Solanke kwakua ambaye hua anacheza hiyo namba, Richarlson, ni mbovu zaidi ya Solanke.

Pili, top goal scorer wa misimu miwili, Haaland, ameshindwa kuscore dhidi ya Arsenal. Hauoni kama ST mwingine yeyote utakua unamuonea tu?
 
TAfuteni kipa wa kueleweka na mabeki wa kueleweka jmni....siku tukikutana msije kuanza kumtukana kocha wenu mapema
Yaani kw mawazo yako tutawachezea chezea kama walivyofanya spars, spars ni wehu sana wamewapa midomo nyie kondoo.
 
Yaani kw mawazo yako tutawachezea chezea kama walivyofanya spars, spars ni wehu sana wamewapa midomo nyie kondoo.
Spurs ni vijana wetu ila nyny ni mandondocha yetu...yaani mda wwte tukipangwa na nyny ni makwenzi tu....Tusumbuliwe na timu inayomtegemea Jackson kama forward kwli???....uzuri mifano ipo hai....zile Tano za mwaka jana pale Emirates mwaka huu tunazileta pale darajani.....tutawadunda kama hatuwajui....
 
Point yangu ilikua kwamba kwa namba 9 Spurs ni bora Solanke kwakua ambaye hua anacheza hiyo namba, Richarlson, ni mbovu zaidi ya Solanke.

Pili, top goal scorer wa misimu miwili, Haaland, ameshindwa kuscore dhidi ya Arsenal. Hauoni kama ST mwingine yeyote utakua unamuonea tu?
Haaland kashatufunga mara mbili, kwenye ushindi wao wa 3-1 na 4-1. Msimu wanachukua ligi kwa tofauti ya point 5 dhidi yetu.
 
PEP Mostly anatumia Back 4, Anachofanya PEP ni Line Up inayoonekana na watu 3 Nyuma ila lazima awe na FullBack mmoja anayesogea kwenye Midfield (Anakuwa na 4 Defenders, Ila Back 3 Mostly inakuwa na 5 Defenders)

BuilUp yake inakuwa 3~1~3~3 Diamond ambayo Kiasi kikubwa Msimu huu Rico Lewis anakuwa anasogea kwenye MD (Misimu kama Miwili Nyuma amekuwa akimtumia zaidi Stones), Wawili wa Mbele yake wanakuwa CM & DM (Holding zaidi kwa Namna PEP anamtumia), KDB anakuwa anacheza Nyuma ya Haaland Pembeni "Isolated Wingers" Kama Savinho, Doku & Grealish kwa Msimu huu kitu ambacho kimekuwa kigumu Kumu-Accomodate Foden moja kwa Moja kwenye timu maana PEP anatengeneza advantage ya Wings zake kuwa kwenye Situations nyingi za 1 v 1,

CONTE Back 3 alikuwa anatumia yenye LIBERO (D.LUIZ) Na alikwa na Wingbacks (Hii ni Traditional Back 3) Uingereza Ilikuwa Ngeni Kiasi ndo Maana alisumbua nayo na akawa Mwalimu wa Kwanza fikisha 30 wins Per Season, Msimu Ulofata Kufeli kwake kulichangiwa na kutopewa Maboresho Bora alimhitaji Naingolan, Candreva, Sandro, VVD, ila Kina Marina wakamletea Bakayoko, Emerson, Zappacosta, Drinkwater na Rudiger

LVG Aliitumia UTD Ila Quality hakuwa nayo (McNair, Smalling, Borthwickjackson, Varela, Blackett) akaishia kuwa na Possession Kubwa isiyo na maana
Napingana nawe kusema Conte alimtumia Luiz kama Libero, libero inapatikana kwenye system catenaccio, so ni ngumu kucheza hii system wakati unafanya zonal marking, often libero anakuwa last man in defence so anadefend zone btn the GK and CB, sasa huyu often anaua ile offside trap hivyo inaleta ugumu kupress highline, high line mara nyingi inataka the flat back four, wataliano wametumia sana hii sytem cuz hawakuwa na zonal marking before arrigo sacchi na pili wanatendency ya kudefend deep per 90.
 
Point yangu ilikua kwamba kwa namba 9 Spurs ni bora Solanke kwakua ambaye hua anacheza hiyo namba, Richarlson, ni mbovu zaidi ya Solanke.

Pili, top goal scorer wa misimu miwili, Haaland, ameshindwa kuscore dhidi ya Arsenal. Hauoni kama ST mwingine yeyote utakua unamuonea tu?
Atawafungaje wakati mnamkamia gab kila mahala anaenda nae mpk dressng room na contena juu mnaweka, halafu kwa hayo mazoea kila mkikutana na city mnaweka contena, kipara anasuka tu kafoko lift kake. mtakuja kulia viazi nyie.
 
Tatizo hata hizo pasi za kuscore hazipati
 
Atawafungaje wakati mnamkamia gab kila mahala anaenda nae mpk dressng room na contena juu mnaweka, halafu kwa hayo mazoea kila mkikutana na city mnaweka contena, kipara anasuka tu kafoko lift kake. mtakuja kulia viazi nyie.
Ukisikia mtoto kautaka ndo kama hivi sasa. Jumapili, we will be there!
 
| Pep Guardiola: “The question isn’t can we beat Arsenal, it’s can we score.”

IMG-20240914-WA0043.jpg
 
Zinchenko, Merino, Ødegaard Tomiyasu and Tierney NOT in training

[Charles Watts]
IMG-20240912-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom