Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Muhindi ndo anacheza mpira uwanjani sio🤠🤠🤠....sometimes naona kama uko timamu hivi ila kumbe bdo dishi limeyumba....saa 12 karibu sana pale Etihad uone namna Haaland atakavyokuwa anazurura kule mbele
Kweli mwanangu mpk dk. ya 9 hii bado namuona Halland anazurura tu.
 
Good ol' days zinarudi

City 4-0 Assno

City 5-0
images(1).jpg
Assno
 
Man City wanaimarisha udhibiti wa mpira dk 19 wana 62%
 
Dk 20, uwezekano wa kupata goli Ars bado ni 0 wakati MC ni 0.56
 
Mfungaji R. Calafiori kwa guu la kushoto tokea nje ya box.

Wakati huo Rodri katoka na kaingia Kovacic
 
Back
Top Bottom