Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,392
Partey mpumbavu sana
Ndio umejua leoPartey mpumbavu sana
Umbea tu mkuuSiku hizi zile kelele za pressing na overloading, positional interchange na flexibility hatuzisikii tena
![]()
Umuhimu wa Kai umeshindw kuonekana leo kutokana na kubadilishiwa role yake uwanjani. Kai Ni bora kuliko jesus wakicheza kam Top forward pale mbeleGuys with humble voice
leo naomba mtu anieleweshe Kai Havertz anaisadiaje timu yetu, what his impact to our final third or midfield??
Binafsi sioni tukichukua makombe kama tunawapa nafasi wachezaji dizaini hii.
Mnacheza UEFA lini mkuu🤠🤠🤠 tumuangalie Antony masebene akifanya yake maana naona Kila mkijaribu kuomba Dua mbaya inagonga mwamba....tushamaliza na Atlanta Sasa j2 unganeni wote muwe upande wa Haaland ila utaratibu wetu ni uleule....watakaa na mpira ila kukatisha pale kwny boksi ni marufuku...wakijitahidi saaaana wataishia kupiga mashuti ya mbali kama wenzao Atlanta janaSiku hizi zile kelele za pressing na overloading, positional interchange na flexibility hatuzisikii tena
![]()
Wanga huwa wanaonekana tu mkuu...Flano na Mkohoti wao timu zao sijui zinacheza mashindano gani Ulaya maana hatujawasikia wiki hii....Sasa hii nguvu ya kuanza kufuatilia mechi za UEFA tangu j4 mpk Alhamisi wanaitoa wapi sijui🤠🤠🤠....Manunu nasikiasikia wiki hii alicheza na mafundi gereji akashinda Saba Sasa sijui kuna ukweli au alonambia kanidanganya....na sijui ni kombe gani lileKama timu yako haipo UEFA nenda kaoshe vyombo acha kusumbua wanaume na comments za kimama mama