mwanadodoma
JF-Expert Member
- Mar 12, 2024
- 434
- 876
Liverpool alifungwa 3 na hao Atalanta tena Anfield,hebu kuwa na break na hilo domo lakoNyie wehu mmeondoka na hela yangu jana, ctaki hata kuwasikia. Kama kumfunga tu Atalanta mmeshindwa ndio mnategemea kumfunga City.