Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,243
- 76,793
Ni wachezaji wachache watakua radhi kukaa sehemu ambayo mafanikio makubwa hakuna.Sio saliba tu.hata saka pia kama hatutashinda kombe la maana msimu huu basi kuna hatari tukamkosa.Timu kama madrid,man city na hata psg kwa mbali siku wakija siriasi kwa saka na saliba basi hatutakuwa na nguvu ya kuwazuia
Maajabu yake eti watu wanaamini kwamba msimu huu we have a chance. Binafsi naona ni mapema kusema tunashinda kombe la msingi.
Notice kwamba Arteta pia hajawa mzuri kwenye hizi mickey mouse trophies kwakua hatuna kikosi kikubwa