Jesus na Zinchenko waliiupgrade Arsenal, so hataki kumuimarisha adui tenaKwanini kipara anakuwa mwoga hivii
Tumpe muda, yupo sehemu salama
Sterling atazungukwa na watu wanaojua kuuchezea mpira


Unamaanisha Sterling alivyokua Man City alikua amezungukwa na wavunja kuni, halafu Arsenyo ndio kuna watu wanaojua kuuchezea mpira sio? wame upgrade nini false hoper? jesus huyu huyu ambaye two digits hafikishi kila siku injury na mwanae zincheko ile season anapinduliwa tu kama chapatiJesus na Zinchenko waliiupgrade Arsenal, so hataki kumuimarisha adui tena
wame upgrade nini false hoper? jesus huyu huyu ambaye two digits hafikishi kila siku injury na mwanae zincheko ile season anapinduliwa tu kama chapati


Masingeli ameharibu sana hiki kizazi cha Arsenyau kwa kuwaaminisha kwenye theory zake za kifalse hopes ambazo ukizileta kwenye uhalisia unagundua ni uongo mtupu katika kutiana moyo na kujazana ujinga.Jamaa kawakimbia kabisa wenzake maana kaona this season ni mapema sana wanakata kamba haihitajii false hopes nyingi.Masingeli ameharibu sana hiki kizazi cha Arsenyau kwa kuwaaminisha kwenye theory zake za kifalse hopes ambazo ukizileta kwenye uhalisia unagundua ni uongo mtupu katika kutiana moyo na kujazana ujinga.
Nina uhakika kabisa wewe siyo Pep Guardiola na haufanyi kazi Manchester City.wame upgrade nini false hoper? jesus huyu huyu ambaye two digits hafikishi kila siku injury na mwanae zincheko ile season anapinduliwa tu kama chapati
The idea sio kuwadharau West Ham, ila ni kuonyesha umuhumu wa kuwa na X-FACTOR ATTACKER ambaye muda wowote anabadilsba mbaya kuwa goli.Pamoja na West Ham kuruka ruka hivi, sasa hivi utasikia BAAAAAM, chuma cha tatu, HAALAND
Rahim alivyokua city mbona alikua mchezaji mzuti tu tena starting 11Unamaanisha Sterling alivyokua Man City alikua amezungukwa na wavunja kuni, halafu Arsenyo ndio kuna watu wanaojua kuuchezea mpira sio?
Aiseee kweli nyinyi ni zaidi ya false hopers.

Rahim alivyokua city mbona alikua mchezaji mzuti tu tena starting 11
Sane aliondoka city kabla ya Sterling
Sterling amedrop alipokuja ukengeni fc, sababu Ni playing style ya timu na wachezaji wenye viwango vidogo au vya kawaida
Sasa amekuja arsenal hatuna tofauti Sana na playing style ya city.
Kimsingi city ndio kaiga playing style yetu tangu enzi za Wenger sisi huwa tunacheza hivi
Arsenal tupo na quality players wazuri na wengi ambao watamu-upgrade au kumfanya awe Bora Kama alivyokua city ikiwezekana na zaidi.
Sina maana Kama hawezi kudrop pia
Tumemchukua kwa mkopo, hatujalipia ata senti 1 Mgawanyo wa mshahara wa SterlingView attachment 3083966
Jamaa kawakimbia kabisa wenzake maana kaona this season ni mapema sana wanakata kamba haihitajii false hopes nyingi.
kuna mshikaji amenifurahisha sana huko juu false hoper mwenzake anamuuliza kwanini hawajamchukua toney , yeye anajibu anamwambia toney atakuja kuwafundisha kina enwari sijui kubeti na atachafua atmosphere ya dressing room.
Hii atmosphere ya dressing room inabidi tuonyeshwe siku moja maana inavyoongelewa humu.


Msimu huu tokea umeanza sijawasikia kabisa wakizungumzia habari za phase, naomba uwakumbushe kua hii ni phase ya 6 na dio phase ya makombe, watabeba makombe yote kuanzi Epl, Uefa mpaka hivyo vikombe vya kuku 

