Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 13,860
- 29,315
Toney alikaa nje msimu mzima kwasababu za kubet
Mbaya zaidi, alibet timu yake inafungwa
Arsenal ndio imchukue mchezaji wa aina hii?
Hiyo mbona sababu ndogo ashajifunza nilidhani unasema aliumia au kiwango kilishuka. Aliporudi aliitwa hadi national team kucheza Euros. Striker gani mwingine mzuri sokoni?