arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Mmeshaanza kututembelea majirani....mpk mwezi wa pili mwakani tutajua nani ni nani....kesho mnacheza na wale jamaa ambao hata wafungwe gemu Tano mfululizo wakisikia Liverpool tena pale OT wanakuwa kama Madrid ya Ronaldo....Rashford anakuwa Ronaldo mtupu🤠🤠🤠....kesho tutakuwa pale na majamvi yetu kuangalia kitakachotokeaSijui ila arsenal ubingwa abebi sijaona timu ya ubingwa yaani wachezaji magarasa kabisa🤣🤣🤣