kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Usinielewe Vibaya . Sijauzungumzia ubora wa Sterling kwa ukubwa hivyo kama ulivyoni note. Kwa uwezo wake kuwa Back up Siyo Mbaya kwa Arsenal hasa ukizingatia wamempata Cheap..Rahimu toka kaondoka city kafanya nini cha maana? Kwanini city ilimtema? Kwanini Chelsea haimtaki?
Sancho ana uzuri gani? Huyo hata manyu walirogwa kumnunua maana aliwika msimu mmoja tu Dortmund ila Dortmund wenyewe hawamtaki sasa. Hana skills kabisa za winger.
Ushabiki mandazi wenu unafanya msione mambo ya wazi kabisa. Una numbers gani to back them up?