Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Msimu huu tokea umeanza sijawasikia kabisa wakizungumzia habari za phase, naomba uwakumbushe kua hii ni phase ya 6 na dio phase ya makombe, watabeba makombe yote kuanzi Epl, Uefa mpaka hivyo vikombe vya kuku
Msimu huu Arsenyo asipochukua treble aulizwe Labyrinth 84
😂😂😂😂 false hope ilipewa jina la phase 😂😂.
Inabidi mkorea na castr na 2004 watujibu " hii ni phase ya ngapi na lengo la phase ni nini?"
SUALA LA PHASE LIMESAHAULIKA KABISA FALSE HOPERS .
 
Unamaanisha Sterling alivyokua Man City alikua amezungukwa na wavunja kuni, halafu Arsenyo ndio kuna watu wanaojua kuuchezea mpira sio?
Aiseee kweli nyinyi ni zaidi ya false hopers.
Ndondocha la Old Trafford hujamaliza shift yako bado
 
Mmeshaanza kututembelea majirani....mpk mwezi wa pili mwakani tutajua nani ni nani....kesho mnacheza na wale jamaa ambao hata wafungwe gemu Tano mfululizo wakisikia Liverpool tena pale OT wanakuwa kama Madrid ya Ronaldo....Rashford anakuwa Ronaldo mtupu🤠🤠🤠....kesho tutakuwa pale na majamvi yetu kuangalia kitakachotokea
Vipi unasemaje ulikua unapiga kelele nikakuambia naona Jana umeona
 
Ule ni udhalilishaji mkuu🤠🤠...hakukuwa na haja ugomvi wetu kwenda kuhamishia kwa wale vijana....ila mmenoudhi sana ilitakiwa muwape kono la nyani...yaani hii International break yte tuwe tunawasema tu kule jukwaani kwao
 
Lile ni onyo kwamba wakija anfield tukio la march 5 mwaka 2023 linajirudia
 
EXCLUSIVE: Saudi side Al Ittihad submit proposal in the region of €35m for Leandro Trossard.

Decision up to Arsenal as he’s always been an important player for Arteta.

Official proposal arrives ahead of Saudi Pro League deadline, as Al Ittihad keep looking for new winger.
20240902_143017.jpg
 
View attachment 3084985
Habari inashtua
 
Habari inashtua
Hofu yangu ni timing ambayo wameitumia hawa el itihad,
Kumuachia mchezaji kipindi hiki hasa wa profile ya trossard sio kitu rahisi.

Lakini vip kama mchezaji akisema anaitaka hiyo offer
Na kuna uwezekano waarabu wameshamalizana na wakala hasa kwa kuchukua advantage ya hali ya gametime ya trossard.

Kwangu mimi trossard ni the most clinical player we have in stock at the moment and we can't afford to loose him.

Ila kwa umri wa trossard
Kwa bara na nchI anayotokea
Kwa gametime anayopata na
Ikitokea ana wakala kichaa basi anything can happen
 
Kuna hofu naipata,
Inawezekana tumeimarika
Ila wapinzani wameimarika pia.

Liver wanaanza kuwa confortable na mpira,
Aston villa wanakuja na wanaimarika zaidi,
Blues in the making
Man u hawatabiriki hasa kuelekea mwisho wa msimu.ligi hii itakuwa ngumu sana mwaka huu.
 
Arteta ana mitihani kadhaa
1.watu wanadhani huu ni wakati sahihi wa yeye kutuonyesha matunda halisi ya projekti yake kwa kubeba kombe la maana.ila kuna city hapoi

2.kuna pressure ya kuwapa gametime academy graduate na wakati huohuo apate matokeo na seniors wanahitaji gametime.
3.kuna challenge ya UEFA na inaanza kwa ugumu sana katika hatua ya makundi huku jesus na kai wakiwa the only option kwenye no 9 role
4.Kroenke anaamini amempa arteta kila kitu na hana deni kwa mashabiki kuhusu financial backup hata ule mzaha wa kwamba timu zake za us zimebeba mataji ila bado arsenal ulikuwa ni ujumbe ndani ya mzaha

5.soko halina profile anazozitaka ila pitch inamdai watu.ana stress akimuangalia kai huku akimwona jesus yuko majeruhi.Merino aliletwa kama game changer hasa baada ya kukosa striker wa maana na alilenga zile interception,ball recoveries,long shorts kama za shaka na attacking atributes za mshikaji.Jamaa kaishia kitandani.

6.Hakuna kitu kinachompa pressure arteta kama akilitazama bench baada ya starting eleven kuwa uwanjani.hakuna sana mchezaji mwenye maajabu.jesus na merino walikuwa turufu yake ila wako wodini.

We believe.
 
Watu wanalaumu kutosajili ila ushawahi kujiuliza kwanini sesko na nico williams wamekataa kuondoka dirisha hili?
Kwa haraka unaweza hisi kwamba wanataka kuongeza thamani zao ili kwenye salary bargaining wasikae kinyonge.uko sawa.ilaaa

Kuna upande wa pili pia,hawa watu wakati mwingine hawana uhakika na kiwango chao na wanataka kukaa msimu mmoja zaidi ili kujihakikisha.wana mifano mingi tu ya wachezaji wenzao ambao walikuwa ni one season wonder.wanajua uzito wa price tag na mishahara watakayolipwa.wanataka wakiondoka wawe wamejihakikisha kwa repeatedly perfomance

Maisha haya.ngoja niendelee kumlaumu arteta na edu kwa kutokusaji
 
Hofu yangu ni timing ambayo wameitumia hawa el itihad,
Kumuachia mchezaji kipindi hiki hasa wa profile ya trossard sio kitu rahisi.

Lakini vip kama mchezaji akisema anaitaka hiyo offer
Na kuna uwezekano waarabu wameshamalizana na wakala hasa kwa kuchukua advantage ya hali ya gametime ya trossard.

Kwangu mimi trossard ni the most clinical player we have in stock at the moment and we can't afford to loose him.

Ila kwa umri wa trossard
Kwa bara na nchI anayotokea
Kwa gametime anayopata na
Ikitokea ana wakala kichaa basi anything can happen
Yeah Trossard siyo wa kuanzia benchi kiukweli.

Kama akifikiria juu ya pesa anaondoka huyu
 
Arteta ana mitihani kadhaa
1.watu wanadhani huu ni wakati sahihi wa yeye kutuonyesha matunda halisi ya projekti yake kwa kubeba kombe la maana.ila kuna city hapoi

2.kuna pressure ya kuwapa gametime academy graduate na wakati huohuo apate matokeo na seniors wanahitaji gametime.
3.kuna challenge ya UEFA na inaanza kwa ugumu sana katika hatua ya makundi huku jesus na kai wakiwa the only option kwenye no 9 role
4.Kroenke anaamini amempa arteta kila kitu na hana deni kwa mashabiki kuhusu financial backup hata ule mzaha wa kwamba timu zake za us zimebeba mataji ila bado arsenal ulikuwa ni ujumbe ndani ya mzaha

5.soko halina profile anazozitaka ila pitch inamdai watu.ana stress akimuangalia kai huku akimwona jesus yuko majeruhi.Merino aliletwa kama game changer hasa baada ya kukosa striker wa maana na alilenga zile interception,ball recoveries,long shorts kama za shaka na attacking atributes za mshikaji.Jamaa kaishia kitandani.

6.Hakuna kitu kinachompa pressure arteta kama akilitazama bench baada ya starting eleven kuwa uwanjani.hakuna sana mchezaji mwenye maajabu.jesus na merino walikuwa turufu yake ila wako wodini.

We believe.
FALSE HOPES hamna presha yoyote ile , nembu nitajie hata academy graduate mmoja ambae anaweza kupata game time hata soton pale.

Arsenal mnajipa ukubwa na umuhimu usiokuepo fallacy.
we all know nyie ni false hopers tu hakuna kingine na hata mwaka huu mnatoka empty , najua sasa hivi huwezi kunielewa sababu ni false hoper ila ikifika MAY utakuwa ushanielewa.
 
Arteta ana mitihani kadhaa
1.watu wanadhani huu ni wakati sahihi wa yeye kutuonyesha matunda halisi ya projekti yake kwa kubeba kombe la maana.ila kuna city hapoi

2.kuna pressure ya kuwapa gametime academy graduate na wakati huohuo apate matokeo na seniors wanahitaji gametime.
3.kuna challenge ya UEFA na inaanza kwa ugumu sana katika hatua ya makundi huku jesus na kai wakiwa the only option kwenye no 9 role
4.Kroenke anaamini amempa arteta kila kitu na hana deni kwa mashabiki kuhusu financial backup hata ule mzaha wa kwamba timu zake za us zimebeba mataji ila bado arsenal ulikuwa ni ujumbe ndani ya mzaha

5.soko halina profile anazozitaka ila pitch inamdai watu.ana stress akimuangalia kai huku akimwona jesus yuko majeruhi.Merino aliletwa kama game changer hasa baada ya kukosa striker wa maana na alilenga zile interception,ball recoveries,long shorts kama za shaka na attacking atributes za mshikaji.Jamaa kaishia kitandani.

6.Hakuna kitu kinachompa pressure arteta kama akilitazama bench baada ya starting eleven kuwa uwanjani.hakuna sana mchezaji mwenye maajabu.jesus na merino walikuwa turufu yake ila wako wodini.

We believe.
Bado Kroenkes hawajafanya vya kutosha...siku wakimpa world class forward na wakiweza ku retain first eleven yte na benchi likiwa limeshiba hapo Sasa wataona wamefanya Kila kitu....huwezi kusema umefanya Kila kitu wakati una strong first eleven ila benchi bdo dhaifu maana mchezaji kuumia ni muda wwte....siku tukishaachana na kina Nelson, Tavares, lokongq na hzi nafasi zao wakachukua watu wa maana ndo utasema Sasa hamna sababu tena ila as long as hzo mbegu zipo basi bdo kikosi kinatengenezwa...we believe
 
Back
Top Bottom