Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna hofu naipata,
Inawezekana tumeimarika
Ila wapinzani wameimarika pia.

Liver wanaanza kuwa confortable na mpira,
Aston villa wanakuja na wanaimarika zaidi,
Blues in the making
Man u hawatabiriki hasa kuelekea mwisho wa msimu.ligi hii itakuwa ngumu sana mwaka huu.
Kwangu mimi nawaona liver ndio wapo imara sana,huyu kocha mpya kaleta nidhamu kwenye ulinzi,wakijua tu nafasi watapata,kuna namna kampunguzia majukumu van
 
Kwangu mimi nawaona liver ndio wapo imara sana,huyu kocha mpya kaleta nidhamu kwenye ulinzi,wakijua tu nafasi watapata,kuna namna kampunguzia majukumu van
Liverpool wataanguka tu ukizingatia wapo UEFA, msimu jana walienda vizuri paka mambo yalipochanganya
 
Bado Kroenkes hawajafanya vya kutosha...siku wakimpa world class forward na wakiweza ku retain first eleven yte na benchi likiwa limeshiba hapo Sasa wataona wamefanya Kila kitu....huwezi kusema umefanya Kila kitu wakati una strong first eleven ila benchi bdo dhaifu maana mchezaji kuumia ni muda wwte....siku tukishaachana na kina Nelson, Tavares, lokongq na hzi nafasi zao wakachukua watu wa maana ndo utasema Sasa hamna sababu tena ila as long as hzo mbegu zipo basi bdo kikosi kinatengenezwa...we believe
World class forward ni Edu na Arteta ndio wanambwela, sio Kroenke kabisa.
 
Amewasahau hao wajomba walibeba EPL na UCL na first XI Ile Ile mwanzo mwisho bila ya story za kikosi kipana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Endelea kulialia kombe safari hii pia mtakisikia tu kwenye redio na uefa mnatolewa kwenye makundi na hiyo timu yenu ya chekechea. Mbwa koko nyie!
Sio utamaduni wa jukwaa hili mkuu.
Hizi lugha zina majukwaa yake
 
Hatupendi sana lugha ngumu na zisizo za kiuana michezo
Kwahiyo ulitakaje? au umeona hapa ni bench la ufundi la timu unayomiliki mtaani kwako?

Fanya yako tusikaliliane ungedili na aliyeanzisha ujinga humu... Sio kuishia kumuita mkuu, halafu mi nliye Gunner's uje knipiga vibiti vyako!
 
Ufananisho wa tulipokua msimu uliopita baada ya mechi 3 na tulipo msimu huu baada ya mechi 3.

20240907_081054.jpg
 
Hizi game 3 zijazo za ugenini ndani ya wiki moja.
Kwa namna moja au nyingine itakuwa kipimo kizuri cha progress

Spurs,Atalant,City
Kichekesho ni kwamba tumeanza kuexperience majeruhi mapema mno
 
Kichekesho ni kwamba tumeanza kuexperience majeruhi mapema mno
Kupata ushidi walau mmoja katika hizo mechi mkuu ni jambo la kushukuru.

Sina imani na midfield ya partey na jognho. Tuta strugle zidi ya spurs kama tutaingia hivi.
Kama timber yuko fit amalize 8 , calafiori Lb
Safu ya ushambuliji kuanzia sasa awe anafanya rotation
Yaani
martinelli,trossad,sterling
Then
Jesus, kai , saka
Mechi nyingi mno kunaulazima wakufanya rotation ya kikosi kama city nakudeliver quality ile ile.

Ila ingefaa sana tungeanza kumtumia sterling badala ya kai
Mimi naamini raheem sterling ni mzuri kuliko G martineli pia anafaa false 9 kuliko kai kwenye zile 1 vs 1 hata finishing pia .
 
Sterling hana finishing nzuri ya kufanya umuamini awe false 9 au ST.

Ni sahihi kama anacheza pembeni Martinelli au Trossard awe kati. Nataka kuamini kwamba kwenye last game chances alizokosa Odegaard, Kai na Saka Martinelli au Trossard angepata, au tusema tungekua na ST wa kueleweka ilibidi tushinde
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom