Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,485
- 2,752
Two clear chances unakosa halafu unataka ubingwa.
Ni kweli lakini pia ni kumpongeza golikipa.Hapa ndipo nagombana na kai, nafasi kama hizi ni muhimu mnoo kwa game kama hizi... Weka kambani, mpo pungufu, game 1, 1 kisha unakosa nafasi kama hii, we si unakuwa punguwani.
Timu gani ambayo huwa haikosi hizo nafasi.?Two clear chances unakosa halafu unataka ubingwa.
Amefanya jambo la kitoto mnoHii game rice achunguzwe inawezekana kabet
Punguza uongo mkuu, uwanjani hazichezi hisia.Hii mechi ingekuwa kwa Liverpool au Man city with one man down still hii mechi wangeshinda vizuri.
Watu mpira mnaangaliaga wapi..... mbona ni nafasi ambazo watu wanakosa sana. Tena ile nafasi siyo ya wazi. Kai kapambana sana kuu win ule mpira. Pia ni pongezi kwa kipaTimu gani ambayo huwa haikosi hizo nafasi.?
Ndo nilitaka huyo jamaa aniambie timu ambayo huwa haikosi hizo nafasiWatu mpira mnaangaliaga wapi..... mbona ni nafasi ambazo watu wanakosa sana. Tena ile nafasi siyo ya wazi. Kai kapambana sana kuu win ule mpira. Pia ni pongezi kwa kipa
Nyie ndio wale Mashabiki uchwara mnaojidanganya kwa kusema Arsenal WE DON'T NEED STRIKER. Hii mechi mlikuwa mnaimaliza First half kama mngekuwa number 9.Punguza uongo mkuu, uwanjani hazichezi hisia.
Halijui mpira hilo🤣🤣🤣Nyie ndio wale Mashabiki uchwara mnaojidanganya kwa kusema Arsenal WE DON'T NEED STRIKER. Hii mechi mlikuwa mnaimaliza First half kama mngekuwa number 9.
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣Tafuteni mido ya kueleweka sio odegard tangu lini madrid akuuzie silaha?🤣🤣🤣