Mjinga kiukweli tumechezewa rafu nyingi za kidwanzi anapeta na hatoi kadi hili ni tatizo pia lakuwa na captain mpole mpole kam odegaard ni lin captain wetu kampa prssure kubwa refa kwenye maamuzi mabovu dhidi yetu?Refa mjinga
ni mda wa asenane kupelekewa moto sasaKadi ya kizembe sana Rice ameshaicost team.
Ni kweli lakini pia ni kumpongeza golikipa.Hapa ndipo nagombana na kai, nafasi kama hizi ni muhimu mnoo kwa game kama hizi... Weka kambani, mpo pungufu, game 1, 1 kisha unakosa nafasi kama hii, we si unakuwa punguwani.
Timu gani ambayo huwa haikosi hizo nafasi.?Two clear chances unakosa halafu unataka ubingwa.