Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,236
- 3,674
Gameweek3 unauliza tupo nafasi ya ngapi! ingekuwa ivyo sasa nyinyi mngekuwa mabingwa wa nafasi ya kwanza kuanzia august mpaka April mnakuwa pale juu ila ikifika May tu kazi inakuwa hamna tena.Sio jibu hili braza la swali nilokuuliza.. mko nafasi ya ngapi mkuu