Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,809
Hii imekaa vizur. Huyu alikuwa mbaya sana hebu fikiria mwaka jana angetuachia point 3 tu za pale Emirates tungekuwa na jina tofauti. Ni bora kumuanzishia hukohuko kwaoClean sheet ya 2

Yeye na fulhamHii imekaa vizur. Huyu alikuwa mbaya sana hebu fikiria mwaka jana angetuachia point 3 tu za pale Emirates tungekuwa na jina tofauti. Ni bora kumuanzishia hukohuko kwao
Unaumia ukiwa wapi?Ingawa mmeshinda kibahati bahati ila dogo Rogers fundi sana aisee,
Hii ni product ya West Bromwich Albion Academy, dogo anateleza kama kambale, kijana anakatisha katikati ya msitu utafikiri yupo kwenye lami, hakika hapa Aston Villa wameramba dume. View attachment 3078365
Ila hawa villa na full ham waliwanyima ubingwa Arsenal msimu uliopita.Ingawa mmeshinda kibahati bahati ila dogo Rogers fundi sana aisee,
Hii ni product ya West Bromwich Albion Academy, dogo anateleza kama kambale, kijana anakatisha katikati ya msitu utafikiri yupo kwenye lami, hakika hapa Aston Villa wameramba dume. View attachment 3078365
Bado gari halijawaka mkuu, after game Kama 4 hivi na Merino akishazoeana na wenzake utakuja kurekebishaMambo 12 niliyoyaona mechi ya leo
1.arsenal wamepunguza uwezo wa ball recovery
2.arsenal bado haijapata ile rhythm hasa inapokuwa na mpira,hili bado
3.Martinell asipobadilika huu unaweza kuwa msimu wake wa mwisho na hataamini.
4.kwa structure,aston villa ni wagumu mnoo na hapa unahitaji individual brilliance ya hali ya juu ili ku outsmart structure yao.
5.bado hatuna longshort merchant maana hata odegard ni kama amesahau kufunga nje ya kumi na nane.tusubiri muujiza wa merino
6.mabeki wa kati waaache utoto na kujiamini sana kwenye mechi muhimu kama hizi.
7.mchakato wa kupata kiungo namba 6 uanze na aje january.
8.Timu inahitaji target man hasa na sio mshambuliaji machachari
9.timber ni mtu hasa,ila rodgers wa villa ni mtu na nusu
10.ukitaka kuwafunga low block team na possession based team njia ni moja tu,peleka mpira langoni mwao kwa lazima na kwa vyovyote vile watafanya makosa.
11.team tunayo hasa ila na wengine wana team
12.uhusiano wa mawinga na fullbacks hasa tunapokuwa off ball uimarishwe

Bado gari halijawaka mkuu, after game Kama 4 hivi na Merino akishazoeana na wenzake utakuja kurekebisha [emoji115
Huu ushauri utabaki kusomwa na mashabiki waswahili. Pale kwa Edu Gaspa na Ateta Mikael haufiki. Labda wanamsomaji maoni ya Tanzania achukue point zako.Mambo 12 niliyoyaona mechi ya leo
1.arsenal wamepunguza uwezo wa ball recovery
2.arsenal bado haijapata ile rhythm hasa inapokuwa na mpira,hili bado
3.Martinell asipobadilika huu unaweza kuwa msimu wake wa mwisho na hataamini.
4.kwa structure,aston villa ni wagumu mnoo na hapa unahitaji individual brilliance ya hali ya juu ili ku outsmart structure yao.
5.bado hatuna longshort merchant maana hata odegard ni kama amesahau kufunga nje ya kumi na nane.tusubiri muujiza wa merino
6.mabeki wa kati waaache utoto na kujiamini sana kwenye mechi muhimu kama hizi.
7.mchakato wa kupata kiungo namba 6 uanze na aje january.
8.Timu inahitaji target man hasa na sio mshambuliaji machachari
9.timber ni mtu hasa,ila rodgers wa villa ni mtu na nusu
10.ukitaka kuwafunga low block team na possession based team njia ni moja tu,peleka mpira langoni mwao kwa lazima na kwa vyovyote vile watafanya makosa.
11.team tunayo hasa ila na wengine wana team
12.uhusiano wa mawinga na fullbacks hasa tunapokuwa off ball uimarishwe
Hesabu zilogoma. Nadhani Arteta alifikiria zaidi mechi na Bayern Munich na kuwapa nafasi VillaHawa wapuuzi wametutesa sana msimu uliopita, hasa ile mechi ya mwishoni mwa msimu ilinikosesha usingizi.
Sisi ndio sisi, shukrani Mkuu.
AgreedMambo 12 niliyoyaona mechi ya leo
1.arsenal wamepunguza uwezo wa ball recovery
2.arsenal bado haijapata ile rhythm hasa inapokuwa na mpira,hili bado
3.Martinell asipobadilika huu unaweza kuwa msimu wake wa mwisho na hataamini.
4.kwa structure,aston villa ni wagumu mnoo na hapa unahitaji individual brilliance ya hali ya juu ili ku outsmart structure yao.
5.bado hatuna longshort merchant maana hata odegard ni kama amesahau kufunga nje ya kumi na nane.tusubiri muujiza wa merino
6.mabeki wa kati waaache utoto na kujiamini sana kwenye mechi muhimu kama hizi.
7.mchakato wa kupata kiungo namba 6 uanze na aje january.
8.Timu inahitaji target man hasa na sio mshambuliaji machachari
9.timber ni mtu hasa,ila rodgers wa villa ni mtu na nusu
10.ukitaka kuwafunga low block team na possession based team njia ni moja tu,peleka mpira langoni mwao kwa lazima na kwa vyovyote vile watafanya makosa.
11.team tunayo hasa ila na wengine wana team
12.uhusiano wa mawinga na fullbacks hasa tunapokuwa off ball uimarishwe
Vita yako na huyu tol inaendelea. 😃😃Anahitajika straika haswa, hii havertz ni takataka haswaa
Trossad anaoneka wazi hafurahishwi kuwekwa benchi na mtu ambaye anamzidi form. Naona hata kocha kaliongelea.Mambo 12 niliyoyaona mechi ya leo
1.arsenal wamepunguza uwezo wa ball recovery
2.arsenal bado haijapata ile rhythm hasa inapokuwa na mpira,hili bado
3.Martinell asipobadilika huu unaweza kuwa msimu wake wa mwisho na hataamini.
4.kwa structure,aston villa ni wagumu mnoo na hapa unahitaji individual brilliance ya hali ya juu ili ku outsmart structure yao.
5.bado hatuna longshort merchant maana hata odegard ni kama amesahau kufunga nje ya kumi na nane.tusubiri muujiza wa merino
6.mabeki wa kati waaache utoto na kujiamini sana kwenye mechi muhimu kama hizi.
7.mchakato wa kupata kiungo namba 6 uanze na aje january.
8.Timu inahitaji target man hasa na sio mshambuliaji machachari
9.timber ni mtu hasa,ila rodgers wa villa ni mtu na nusu
10.ukitaka kuwafunga low block team na possession based team njia ni moja tu,peleka mpira langoni mwao kwa lazima na kwa vyovyote vile watafanya makosa.
11.team tunayo hasa ila na wengine wana team
12.uhusiano wa mawinga na fullbacks hasa tunapokuwa off ball uimarishwe
Haiwezi kuisha, anazingua sana huyu jamaa.Vita yako na huyu tol inaendelea. 😃😃
acha makasiriko ya kijingaHivi uliombwa??acha ujinga
Chanzo cha uchawi ni wivu wa kijinga🤣😂😃😆😅😄😀😀🤣🤣🤣🤣Hivi uliombwa??acha ujinga
Nafasi nne goli mojaHaiwezi kuisha, anazingua sana huyu jamaa.