Kwanini unakasirika wakati Arsenal wote tunaunga mkonoHivi uliombwa??acha ujinga
Kwanini unakasirika wakati Arsenal wote tunaunga mkonoHivi uliombwa??acha ujinga
Tuna changamoto ya kwamba Trossard anakua kama Emile, akianza hakupi kitu kikubwa kuliko akitokea benchi.Trossad anaoneka wazi hafurahishwi kuwekwa benchi na mtu ambaye anamzidi form. Naona hata kocha kaliongelea.
Anazingua tu.Nafasi nne goli moja
Ni kweli ni kama anachoka mapema. Aendelee kuingia sub wapinzani wakiwa washaanza kuchoka.Tuna changamoto ya kwamba Trossard anakua kama Emile, akianza hakupi kitu kikubwa kuliko akitokea benchi.
Sijui kama mmeona hii ishu au ni mimi peke yangu
Kale katoto jana kameniudhi sana...huwa hakampigii simu hata Vinicious Jr akaelekeze kidogo namna ya kuchachafya mabeki...Kila siku mambo ni yaleyale tu....Martinelli akiwa very direct na asipokuwa anaupaka mafuta sana mpira basi atakuwa hatari sana ila akiendelea hivi...hakyanani atapewa thank you msimu ujao na Arteta na hatoamini...tunahitaji kuwadunda watu makofi ya macho chapchap kumaliza mechi mapema kenyewe kanaleta ubishoo...gemu ijayo ale mkeka kwanza Ili ajifunzeNi kweli ni kama anachoka mapema. Aendelee kuingia sub wapinzani wakiwa washaanza kuchoka.
Ila Martinell wamkalishe wamweleze aachana na kuremba remba mpira.
Kuanzia game na Spurs tutakuwa tumeanza kupata rhythm...sasahivi nachofurahi tunacheza kikubwa sana...hata tusipocheza vzuri bdo tutafanya Kila namna kupata matokeo na hcho ndo baba ubaya kipara ten hag anachokosea pale matofali ya kuchomaBado gari halijawaka mkuu, after game Kama 4 hivi na Merino akishazoeana na wenzake utakuja kurekebisha![]()
Baba ubaya anachokifanya ndio sisi tunapenda, so far ndio manager wangu Bora wa wiki hiiKuanzia game na Spurs tutakuwa tumeanza kupata rhythm...sasahivi nachofurahi tunacheza kikubwa sana...hata tusipocheza vzuri bdo tutafanya Kila namna kupata matokeo na hcho ndo baba ubaya kipara ten hag anachokosea pale matofali ya kuchoma

Namkumbuka sana masingeli aisee....alilisema wazi tangu siku ya kwanza baba ubaya sio kocha na anaomba Dua Kila siku apewe mkataba wa maisha Ili tuwe na furaha wapinzani...kwakwli nayaona haya kabisa....masingeli mtu wa maana kabisa🤠🤠Baba ubaya anachokifanya ndio sisi tunapenda, so far ndio manager wangu Bora wa wiki hii
Bruno false 9
De light ndio sub ya magwaya. inachekesha Sana
Rashford anaanza starting 11 ganarcho yupo bench
Mount eti ni mchezaji wa man u, tena kapendekzwa na huyo huyo baba ubaya
Maino Ni mchezaji tegemezi wa man u. It's disgrace
Baba ubaya piga kazi, washabiki wa arsenal tupo nyuma yako
FlanoNamkumbuka sana masingeli aisee....alilisema wazi tangu siku ya kwanza baba ubaya sio kocha na anaomba Dua Kila siku apewe mkataba wa maisha Ili tuwe na furaha wapinzani...kwakwli nayaona haya kabisa....masingeli mtu wa maana kabisa![]()


Mimi ninachojua Brighton atapigwa Kama alivyopigwa villa.Next game ni dhidi ya Brighton.
Wakati yupo De Zerbi timu yao ilikua constant threat ila ni vile walikuta tayari tuna rhythm nzuri ila safari hii wanatukuta bado tunajitafuta.
Binafsi nachukulia Arsenal tuna defense nzuri kwa msimu wa nne mfululizo, so hii ndiyo kete yetu ya kwanza kwa Brighton. Bado hatuna long shot merchant pia forwards zetu hazionyeshi kama zinawazia kaunta.
Kwangu naona dhidi ya Brighton ni sahihi ukiwa unaweza kutumia hivi viwili kama Plan A itafeli.





Flano haonekani kabisaNamkumbuka sana masingeli aisee....alilisema wazi tangu siku ya kwanza baba ubaya sio kocha na anaomba Dua Kila siku apewe mkataba wa maisha Ili tuwe na furaha wapinzani...kwakwli nayaona haya kabisa....masingeli mtu wa maana kabisa🤠🤠
Mwamba afanye arudi tu kwa kweli, kama anaona noma kuja na ile Id yake ya Masingeli tuliyoizoea basi arudi hata na ile Id ya Aaron Arsenal
Flano haonekani kabisa


Mkuu bado tutabanana sana humu, uzuri wa hii timu kila mtu anajua ya kwamba kuna Arsenyau ya mwanzo wa ligi na kuna Arsenyau ya mwisho wa msimu




mechi yenu dhidi ya Villa nilikua najiuliza kwa nini Jesus hayupo kabisa kwenye lines-Up, haonekani kwenye 11st wala Sub, kumbe hili tukio lilimsababishia michubuko na maumivu makali sana.