Hii imekaa vizur. Huyu alikuwa mbaya sana hebu fikiria mwaka jana angetuachia point 3 tu za pale Emirates tungekuwa na jina tofauti. Ni bora kumuanzishia hukohuko kwaoClean sheet ya 2
Yeye na fulhamHii imekaa vizur. Huyu alikuwa mbaya sana hebu fikiria mwaka jana angetuachia point 3 tu za pale Emirates tungekuwa na jina tofauti. Ni bora kumuanzishia hukohuko kwao
Unaumia ukiwa wapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ingawa mmeshinda kibahati bahati ila dogo Rogers fundi sana aisee,
Hii ni product ya West Bromwich Albion Academy, dogo anateleza kama kambale, kijana anakatisha katikati ya msitu utafikiri yupo kwenye lami, hakika hapa Aston Villa wameramba dume. View attachment 3078365