Uzuri wake huwa mnakuwa na mikwara mingi sana kabla ya kukutana ila tukishakutana tu mpira ukiisha unakula nyoyaš¤ š¤ ....Sasa hii comment naihifadhi....siku ya tukio hata usipoonekana hmu majukwaani hakyanani ntakufata PM...mashabiki wa Chelkenge mna ulofa Fulani hivi....mara ya mwsho kutufunga ni miaka sijui 70 ilopita huko halafu unakuja hapa kutupigia kelele....unatakiwa uanze kukaa kimya mapema....ile forward line yenu na beki yenu bdo sana kwa level zetu....mtawafunga hao kina Ipswich ila mkikutana na sisi hakyanani mkipata hata short on target tatu tu unitafute