Twende ado ado mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu Castr mara kibao tu alikua anatofautiana na Masingeli, jamaa alikua hakubali kuburuzwa kizembe.
Kati ya hizi chawa Pro-Max mbili mkorea na arsenal2004 mmoja wao ndio anastahili kurithi mikoba ya masingeli.
Mtu pekee anayeweza kuwaokoa leo😂😂😂😂 Kuna zile Kengezsss zinashinda humu... Badala ya kufikiria gari bovu lao
Sasa si utajificha hadi mwezi ukate kwa sababe mechi nyepesi ilikua ya Fulham na BrightonUlitaka afanye nini kwa THE BUTCHER? ametulizwa.
Mnazitoa wap sassIli tukae kileleni tunahitaji goli siyo chini ya 5
Tunaanza kutangaza ubingwa na hizi mechi 😀😀😀