Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaaaaaahhh!!! Santos kampiga mtu KANZU..... Kingereza chake sijui ni nini......
 
Hapo katikati panavuja sana .... ... pasi mbovu ... ....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
TW kafanya haraka kupiga ile CROSS.... bado alikua na nafasi ya kufanya vema zaidi ya Vile.....
 
Huyu dogo kweli simuamini... lakini kwa kweli alikua ana Good game so far......
 
Huyu mjerumani leo ana tabu na Shida zake.... Anazungushwa ka pia
 
Back
Top Bottom