Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arshavin vipi? Si bora yule dogo Chamberlain au mnasemaje wakuu?

Chamberlain wamemwacha London .... ...... ....... .. .usiwe na shaka goli litapatikana prof atabadili mpira na formation baadaye ... ..... ...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mmeona ile handball ... .... hivi hawa officials wanaokaa nyuma ya magoli kazi yao ni kula mpunga bila kufanya any decisions? Muda umefika wa kutumia technology .... ..... ...... .... .....
 
Song anarembea mpira ndani ya BOX?????????????????????????????????????????????????????????????
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Walcott kakosa bonge la chance.... that was a Clear cut Chance......
 
Mmeona ile handball ... .... hivi hawa officials wanaokaa nyuma ya magoli kazi yao ni kula mpunga bila kufanya any decisions? Muda umefika wa kutumia technology .... ..... ...... .... .....

Tulia wewe na chezeni mpira, unawaza handball tu, si mfunge basi au??Handball ya kuizungumzia>??
 
Duuu walcot ametoka nani atawakimbiza hawa jamaa sasa??na kuwapa pressure huyo Gervinho au??
 
Back
Top Bottom