Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tafiti zinaonyesha mashabiki wa Arsenyo ndio wanaongoza kwa Sonono kuliko mashabiki wa timu yoyote duniani.
1716797104921.jpg
 
Nimekwambia hivyo sababu, kabla City hajarudi kwenye peak, nae alikua anatembezewa kichapo. All in all ni ushabiki tu hapa
Mkuu najua tutapoteana ...man city pep ataondoka na tunaweza kuwa tunakaaa misimu hadi misismu Bila makombe ...

Lakin kichapo na historia yetu hapo EPL itasemwa vizazi mpaka vizazi ,hata usiposema wewe watoto wako wataijuia man city Ni Nani ....

Kama ambavyo nyie mnasema mafanikio ya Arsenal ya 2003-2004 mpaka Leo ndio mnajivunia nayo ,na mnajitafita Kurudi kuwa vile ,na asilimia kubwa ndio yalifanya muwe mashabiki ........that is football

Kila MTU anajua
 
Hongereni mashabiki wa Aser8 kwa kuzingatia ule ushauri wangu wa kumaliza mechi za msimu 2023/2024. Sijasikia mashabiki waliojiua.

Nawaandalia ushauri mwingine wa bure kuelekea msimu mpya 2024/2025.

Nitajitahidi kadri iwezekanavyo kuokoa maisha ya mashabiki wa Aser8. Mpira ni burudani hakuna haja ya kujiua.
utakuta wewe ni shabiki la kenge,ambao hadi sasa hamjajua mustakabali
wa timu lenu either mtacheza europa au kikao......
alafu unamcheka mtu ambae hata mpewe misimu mitatu hamtomuweza
 
utakuta wewe ni shabiki la kenge,ambao hadi sasa hamjajua mustakabali
wa timu lenu either mtacheza europa au kikao......
alafu unamcheka mtu ambae hata mpewe misimu mitatu hamtomuweza
We kondoo na msimu wako bora una utafauti gani na kenge aliyekua ana msimu mbovu kuliko misimu yote, ni mwehu peke yake ndio anaweza akasimama mbele za watu akajisifia.
 
We kondoo na msimu wako bora una utafauti gani na kenge aliyekua ana msimu mbovu kuliko misimu yote, ni mwehu peke yake ndio anaweza akasimama mbele za watu akajisifia.
nani amekwambia huu ndo msimu wetu bora?
nyie mnaona huu ni msimu bora kwa gunners kwa sababu
kenge na ndugu zenu nyumbu tumewapiga!, ila sisi kama arsenal
tunasema hivi huu haukuwa msimu bora kwetu
msimu wetu bora utakuwa wa 2024/25
 
Nyie kila msimu unaokuja ndio msimu wenu, then mnaishia kuangukia pua, hat msimu w jana mlisema msimu huu ndio msimu wenu, yako wapi!!

Nyie ni nina? Nyie ni False hopers
 
Haya masimango sio ya nchi hii...sina la kusema mkuu...wacha tupige kimya mpk msimu mpya
Mkuu nyinyi na boss wenu Masingeli mlitunanga vya kutosha humu, mkatusimanga sana kuhusu GD, mkatutambia Pressing & Overloading, positional interchange, aerial duel, pia mkatudanganya phase4 ndio phase yenu ya kubeba makombe pamoja na kudominate league miaka 10+ consecutively.
Sisi tuna GD -1 lakini tuna kombe mkononi, haya nyinyi wenye GD62 tuonesheni basi hizo GD zenu zimewapatia kombe gani msimu huu
Mimi ndio maana hua namkubali sana ndugu yangu HENRY14 jamaa anashabikia Arsenyau lakini nafsi yake ilishakubaliana na hali kua timu aliyoichagua ni Fungu la kukosa, ndio maana ligi ikianza mpaka ikiwa inaelekea tamani anakua humu anafurahia Teta ball burudani kwa wote, ikifika muda wa kupewa makombe tunakua nae kwenye jukwaa la Utd tukifurahia kwa pamoja kunyanyua kwapa

1717053302876.jpg
 
Back
Top Bottom